Kambaku
JF-Expert Member
- Nov 12, 2011
- 8,332
- 31,306
Kwani nani kaongea habari za kufa? Unawashwa wewe au?Kwani hao tanroad nao wamekufa?
Au unaongea kwa kujihalishia?
Mtoa mada ka challenge watu waseme hela zilikwapuliwaje na ni nani alikwapua, si ndio tunampa mifano sasa ya jinsi hela zilivyopigwa, we umetokea wapi na bange zako hizi?
Hayo mahaba uliyonayo yanayokufanya usitumie ubongo kufikiria hebu yaweke kwa wazazi wako upate thawabu