Msiwe watu wa kupayuka ovyo, kama kuna ufisadi ulifanyika awamu ya tano wekeni ushahidi wazi. Tuambieni namna pesa zilivyokwapuliwa na zilipofichwa

Msiwe watu wa kupayuka ovyo, kama kuna ufisadi ulifanyika awamu ya tano wekeni ushahidi wazi. Tuambieni namna pesa zilivyokwapuliwa na zilipofichwa

Ila wee jamaa ni mnafiki kupindukia!! Yaan humu hua unasoma upepo unaendaje, utaingia kweny utawala huu utang'ata na kupuliza then ukirud kweny genge lako la walinda legacy unang'ata na kupuliza!!!
Siasa ni dynamic bwashee!

Wewe unadumaa na siasa za Ufipa wakati dunia inabadilika!!
 
Ccm wanalindana....
Engineer wa ufisadi kashakufa na tunataka dunia ijue hivyo
Nani huyo Engineer? Ambaye kashakufa na Dunia haijui?

Lengo lako ni lipi hasa?
Kutangazia dunia yako duni ya mawazo mazuri au Ufisadi usio na maelezo pamoja na ushahidi wa nani kakwapua na ameficha wapi?

Kwanini kitu rahisi unakifanya kigumu wakati wewe ni shupavu?
 
Mbona mnakuwa kama watoto wadogo?

Mmesahau namna sakata la Escrow lilivyowekwa wazi? Tuliambiwa pesa namna zilivyo kwapuliwa na hata zilikofichwa. Vivyohivyo hata sakata la Kagoda na Epa.

Mnadai kuna ufisadi mkubwa ulitokea awamu ya tano. Tuambieni namna pesa zilivyokwapuliwa , nani alikwapua na sasa amezificha wapi. Serikali izirudishe.
Ile 1.5T aliyoisema CAG Asadi mliwahi kuonyesha mmeitumia wapi? Au mnajisahaulisha tu.
 
Rais aliamua Tanroad ndio waagize mtambo wa kiwanda cha kuzalisha sukari akawapa bil 50, na hawakuleta na hakuwafanya kitu.
Kama hakuwafanya kitu,waliotumwa wakamatwe wapelekwe mahakamani
 
Mbona mnakuwa kama watoto wadogo?

Mmesahau namna sakata la Escrow lilivyowekwa wazi? Tuliambiwa pesa namna zilivyo kwapuliwa na hata zilikofichwa. Vivyohivyo hata sakata la Kagoda na Epa.

Mnadai kuna ufisadi mkubwa ulitokea awamu ya tano. Tuambieni namna pesa zilivyokwapuliwa , nani alikwapua na sasa amezificha wapi. Serikali izirudishe.
Bishana na SIEIJI
IMG_20220420_162446.jpg
 
Akuwekee us
Tuwekee ushahidi hizo bil 50 zilivyotafunwa. Nani alitafuna?
Report ya CAG iko wazi na wahusika walishindwa kueleza hizo fedha ziko wapi. Sasa ushahidi gani unataka zaidi ya wahusika kufikishwa mbele ya sheria?
 
Jiwe ndio nani? Kama kweli jibu lako liwe na mshiko, kwanini usitaje jina? Ameficha wapi? una Taarifa zingine mbadala na za Mkaguzi mkuu?
Umesikia wapi hayo uliyoyabandika?
Maggufuli alikuwa mpigaji,ushaidi uliopo Ni wa nyaraka,pakua mtandaoni usome report ya CAG, ambao ndio ushaidi official,

eaa2c74c6643af4be501005467b1c964.png
 
Back
Top Bottom