Msiwe watu wa kupayuka ovyo, kama kuna ufisadi ulifanyika awamu ya tano wekeni ushahidi wazi. Tuambieni namna pesa zilivyokwapuliwa na zilipofichwa

Msiwe watu wa kupayuka ovyo, kama kuna ufisadi ulifanyika awamu ya tano wekeni ushahidi wazi. Tuambieni namna pesa zilivyokwapuliwa na zilipofichwa

Kwani Ripoti ya Mkaguzi mkuu haina ushahidi?

Kwa hiyo nayo ina mapungufu?

Maelezo yameachwa kwa makusudi?
au ndio kutafutana huku?
 
Kwani ile trillion 1.5 ilikwapuliwa na awamu ile ilikuwaje?
Kipindi kile hakukuwa na mwenye uthubutu wa kuweka mambo wazi
Kila kitu kitakua wazi
Kama ni hivyo, mapesa mengi, sasa yamewekwa wazi, na una uhuru , una uthubutu
Weka wazi basi, nani kakwapua, kaficha wapi?

...Basi ndio viwe wazi, mchana kweupeee!
 
Mbona mnakuwa kama watoto wadogo?

Mmesahau namna sakata la Escrow lilivyowekwa wazi? Tuliambiwa pesa namna zilivyo kwapuliwa na hata zilikofichwa. Vivyohivyo hata sakata la Kagoda na Epa.

Mnadai kuna ufisadi mkubwa ulitokea awamu ya tano. Tuambieni namna pesa zilivyokwapuliwa , nani alikwapua na sasa amezificha wapi. Serikali izirudishe.
Ningependa Umoja Party kije haraka to be honest na polepole awaachie chama chao majizi wale.
 
Jiwe ndio nani? Kama kweli jibu lako liwe na mshiko, kwanini usitaje jina? Ameficha wapi? una Taarifa zingine mbadala na za Mkaguzi mkuu?
Umesikia wapi hayo uliyoyabandika?
Haisaidii kwa sababu ashakufa na hawezi kufikishwa mahakamani...
So i can't help you and thrre is nothing you can do about it.
 
Ningependa Umoja Party kije haraka to be honest na polepole awaachie chama chao majizi wale.
Chama cha Sukuma Gang.
Ni chama kilichoundwa na sera za upendeleo,wizi na ubaguzi wa kikabila wa Magufuli.
Na ndio maana kitakufa tu kama mwenyewe.
Tuliobaguliwa tutahakikisha tunakizika.
 
Haisaidii kwa sababu ashakufa na hawezi kufikishwa mahakamani...
So i can't help you and thrre is nothing you can do about it.
A stone? That is always in a static state? Help me to understand?
Nani "ashakufa" ? Muanzisha uzi ameomba tuepushe kupayuka, majibu unayoleta ni ya kitoto, ameshauri pia tuepuke
I am pretty sure there is something you can do about it!

Nchi yetu, Ripoti ipo, weka ushahidi nani kakwepua, amezificha wapi? au ndio kusema zimefichwa kwenye 'jiwe' sielewi? Oh yes! There is somewhere you can help!
 
Hata Lowassa walimsingizia hivyo hivyo.

Chadema wana upuuzi mwingi!
Wewe unawaogopa ccm wenzako hapo ndipo unafiki wenu ccm unapojionesha, wanaoleta hizo ngonjera za wizi wa awamu ya 5 sio chadema, kama wapo ni wachache sana wengi wao ni wafuasi wa team msoga ,lakini wewe hauwezi kusema "team msoga wana upuuzi mwingi" hapo ndipo kwenye unafiki wako.
 
Na CAG aliyeibua wizi wa Tshs 1.5 Trilioni naye mpuuzi au siyo?
Alete huo ushaidi wa 1.5 t nanu aliichukua na iliondokake ondokaje unadhani trillion moja nukta tano ni sawa na buku tano[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Lisilo na ubishi ni Tshs 1.5 Trilion.
Mwulize CAG.
Ungekuwa na akili ungejua eingi wa hizo t1.5
Naungeuliza zilifichwa wapi,kusematu zimepigwa niujinga,hata cag amesema zilitumika bila kurecodiwa, uliza zilitumika wapi utaambiwa.
 
Back
Top Bottom