Msiwe watu wa kupayuka ovyo, kama kuna ufisadi ulifanyika awamu ya tano wekeni ushahidi wazi. Tuambieni namna pesa zilivyokwapuliwa na zilipofichwa

Msiwe watu wa kupayuka ovyo, kama kuna ufisadi ulifanyika awamu ya tano wekeni ushahidi wazi. Tuambieni namna pesa zilivyokwapuliwa na zilipofichwa

Ungekuwa na akili ungejua eingi wa hizo t1.5
Naungeuliza zilifichwa wapi,kusematu zimepigwa niujinga,hata cag amesema zilitumika bila kurecodiwa, uliza zilitumika wapi utaambiwa.
Usilete za kuleta.
Miradi ya Canada itajulikana tu.
 
Kwani ile trillion 1.5 ilikwapuliwa na awamu ile ilikuwaje?
Kipindi kile hakukuwa na mwenye uthubutu wa kuweka mambo wazi
Kila kitu kitakua wazi
Ripoti za CAG huwa zinajadiliwa na Kamati ya Bunge ya PAC. Kamati hii, ilimwita CAG pamoja na Wizara husika wakajadiliana na mwisho wa siku Kamati ilitoa taarifa Bungeni kwamba hakuna fedha yoyote iliyoibiwa. Lakini turudi kiuhalisia, hivi huyo JPM anaembiwa amefanya ufisadi wa fedha zote hizo ameziweka wapi? Tuonyeshwe hata mali basi anazomiliki kujustify huo ufisadi wake.
 
Kwani ile trillion 1.5 ilikwapuliwa na awamu ile ilikuwaje?
Kipindi kile hakukuwa na mwenye uthubutu wa kuweka mambo wazi
Kila kitu kitakua wazi
Ndio muwekewazi sasaivi kwamba zilikwapuliwa zikawekwa wapi, zimefichwa nje ya nchi ama kwenye bank gani hapa tanzania ama zipo kwenye viroba.
Huu upuuzi mtaendelea nao mwisho mtatulia tu sababu watu sio wajingatena wanajua kilakitu.
 
Chama cha Sukuma Gang.
Ni chama kilichoundwa na sera za upendeleo,wizi na ubaguzi wa kikabila wa Magufuli.
Na ndio maana kitakufa tu kama mwenyewe.
Tuliobaguliwa tutahakikisha tunakizika.
Mbona hauleweki? Hiko chama unachokitaja kimesajiliwa na msajili wa chama au ndii kupayuka huko?

Waeleweshe dunia basi, -unamumunyamumunya- ...kwamba huna ushahidi, huna yeyote yule wa kumtaja aliyekwapua wala sehemu alikoficha mummu mumumu!
Nani amekudanganya kwamba ...hiki chini
ndicho ulichokitaja? mmuuuummu mu
Ningependa Umoja Party kije haraka to be honest na polepole awaachie chama chao majizi wale.

 
Mbona hauleweki? Hiko chama unachokitaja kimesajiliwa na msajili wa chama au ndii kupayuka huko?

Waeleweshe dunia basi, -unamumunyamumunya- ...kwamba huna ushahidi, huna yeyote yule wa kumtaja aliyekwapua wala sehemu alikoficha mummu mumumu!
Nani amekudanganya kwamba ...hiki chini
ndicho ulichokitaja? mmuuuummu mu
Usipanic mambo tartibu.
 
Kichaa akiwa ameshika panga mkononi ilikuwa ngumu kumsogelea.
Nadhani kichaa niwewe ambae unalopoka bila ushahidi.

Acha kutafuta kiki kwa marehemu kama Zito.

Sasaivi wanao watuma wakiona wanakosa majibu kuhusu matatizo ya wananchi wanaanza kuletaujinga wa kutupa lawama kwa serikali ya awamuyatano, na wavivu wa kufikiri kwa makusudi ama bahatimbaya mnakubalitu.
 
Tulia sindano ziingie taratibu.
Sindano zilisha waingia nyinyi na wajombazenu walio ruhusu vyetifeki na wafanyakazi hewa.
Sasa mnapambana na marehemu kupoza machungu lakini ukweli badounasimama.
 
Mbona mnakuwa kama watoto wadogo?

Mmesahau namna sakata la Escrow lilivyowekwa wazi? Tuliambiwa pesa namna zilivyo kwapuliwa na hata zilikofichwa. Vivyohivyo hata sakata la Kagoda na Epa.

Mnadai kuna ufisadi mkubwa ulitokea awamu ya tano. Tuambieni namna pesa zilivyokwapuliwa , nani alikwapua na sasa amezificha wapi. Serikali izirudishe.
Mwizi mkuu kasha kufa
 
Hata Lowassa walimsingizia hivyo hivyo.

Chadema wana upuuzi mwingi!
Ila wee jamaa ni mnafiki kupindukia!! Yaan humu hua unasoma upepo unaendaje, utaingia kweny utawala huu utang'ata na kupuliza then ukirud kweny genge lako la walinda legacy unang'ata na kupuliza!!!
 
Back
Top Bottom