Msiwe watu wa kupayuka ovyo, kama kuna ufisadi ulifanyika awamu ya tano wekeni ushahidi wazi. Tuambieni namna pesa zilivyokwapuliwa na zilipofichwa

Msiwe watu wa kupayuka ovyo, kama kuna ufisadi ulifanyika awamu ya tano wekeni ushahidi wazi. Tuambieni namna pesa zilivyokwapuliwa na zilipofichwa

Mbona mnakuwa kama watoto wadogo?

Mmesahau namna sakata la Escrow lilivyowekwa wazi? Tuliambiwa pesa namna zilivyo kwapuliwa na hata zilikofichwa. Vivyohivyo hata sakata la Kagoda na Epa.

Mnadai kuna ufisadi mkubwa ulitokea awamu ya tano. Tuambieni namna pesa zilivyokwapuliwa , nani alikwapua na sasa amezificha wapi. Serikali izirudishe.
Kwa hiyo Assad na Kichere wote wanamchafua Mwendazake au? Kumbuka wote walikuwa wateule wake.
 
Ukurasa number ngapi tukasome hiyo 1.5T?
Watafute wenzio hawa watakuonyesha ipo ukurasa gani. Hapa walikua wanahangaika kuielezea
Screenshot_2022_0421_121959.png
 
Mbona unayepwayuka ni wewe? Ufisadi mkubwa uliofanywa na awamu ya 5, si umedhihirishwa na uchunguzi wa CAG?

Si usubiri hatua gani zitafuatwa? Mbona unakua kama mwehu asiyejua kuwa katika kila jambo kuna taratibu zake? Kwani hata hiyo EPA na Escrow kila kitu kilifanyika siku moja?

Au unafikiri, na wewe ukifoka kama alivyokuwa anafanya marehemu utafanikiwa kuwaziba midomo watu kama marehemu alivyokuwa anafanya ili kuficha uovu wake, na wewe utafanikiwa?

Marehemu, uovu wake wote, ndani ya miaka 10 utawekwa wazi kwa kila mmoja.

Hebu tuwekee na sisi hapa tuone jinsi huo ufisadi wa awamu ya 5 ulivyodhihirishwa na uchunguzi wa CAG,

hivi unajua hata hiyo ofisi ya CAG inafanya kazi gani au unabwabwaja tu?
 
Unao huo ushahidi wa mimba?
Huoni kuwa unawatesa wanafamili ya Hayati kwa vijembe vyako. Aisee muwe mnafikiri hata kwa sekunde.
Anamaanisha Magufuli alikuwa mzinzi. Huyo ni Sukumagang anamjua vizuri ndugu yake labda kaachiwa watoto wa nje wa marehemu.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Alete huo ushaidi wa 1.5 t nanu aliichukua na iliondokake ondokaje unadhani trillion moja nukta tano ni sawa na buku tano[emoji23][emoji23][emoji23]
Aliyekuwa na ushahidi mlimshikia bunduki Ikulu na kumlazimisha aseme mnayotaka, hivi mpaka Leo mnaamini watanzania ni wajinga Sana? Prof ASSAD alipotoa ripoti ikiwa na upotevu wa 1.5t mlitoka mashimoni kumshambulia Kwa nini hamkumuuliza ushahidi zaidi ya kumfukuza kazi? Inapasua kioo Kwa sababu kimekuonyesha Una tongotongo machoni, ni akili au tope?

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Mbona mnakuwa kama watoto wadogo?

Mmesahau namna sakata la Escrow lilivyowekwa wazi? Tuliambiwa pesa namna zilivyo kwapuliwa na hata zilikofichwa. Vivyohivyo hata sakata la Kagoda na Epa.

Mnadai kuna ufisadi mkubwa ulitokea awamu ya tano. Tuambieni namna pesa zilivyokwapuliwa , nani alikwapua na sasa amezificha wapi. Serikali izirudishe.
Na wewe Nyankurungu2020 katika misukule ya kweli ya Mwendazake wewe ndiye namba 1.

Unataka uwekewe ushahidi hapa, kwani ni Mahakamani? Umejitoa akili wewe sisi hatuwezi kujitoa akili kama wewe.

Kachimbe kaburi lako Chato na wewe ujizike karibu na Dikteta
 
Kwani upigaji wa Epa na Escrow ulianikwa wapi?
 
Mbona mnakuwa kama watoto wadogo?

Mmesahau namna sakata la Escrow lilivyowekwa wazi? Tuliambiwa pesa namna zilivyo kwapuliwa na hata zilikofichwa. Vivyohivyo hata sakata la Kagoda na Epa.

Mnadai kuna ufisadi mkubwa ulitokea awamu ya tano. Tuambieni namna pesa zilivyokwapuliwa , nani alikwapua na sasa amezificha wapi. Serikali izirudishe.
Hatuwezi kumpunzisha Dikteta alikuwa anaharibu Nchi yetu kiuchumi, kisiasa na kijamii.

Isingekuwa Mungu kuingilia kati pale 17 Machi, 2021 huyu Magufuli angeifanya Nchi yetu iwe kama Zimbabwe kiuchumi, au Somalia kijamii au Rwanda Burundi kisiasa.

Tutaandika mpaka Dunia ielewe kuwa mtu aliyedanganya wajinga kuwa ni mchukia ufisadi yeye ndiye alikuwa FISADI mkuu
 
naona humu Sukuma gang inapambania mfalme wao kweli kweli
 
Hata Lowassa walimsingizia hivyo hivyo.

Chadema wana upuuzi mwingi!
CHADEMA hawajasema lolote rasmi kuhusu ukwapuaji wa pesa mpaka sasa. Wanaosema mpaka sasa ni watanzania wananchi wa kawaida na kiongozi wa ACT bwana Zitto Kabwe. Hata hivyo kazi ya kutafuta ushahidi ni ya vyombo vya Dola ambavyo tunalipa mishahara yao kupitia kodi zetu. Kama kuna malalamiko yanayotokana na ripoti ya CAG walipaswa kuchunguza na kuchukua hatua ama kueleza usafi wake ama uhalifu na hatua stahiki kuchukuliwa. Tusipende kupindisha mijadala yenye maslahi ya taifa kwa kutoa hoja mfu.
 
Back
Top Bottom