Msiwe watu wa kupayuka ovyo, kama kuna ufisadi ulifanyika awamu ya tano wekeni ushahidi wazi. Tuambieni namna pesa zilivyokwapuliwa na zilipofichwa

Kwani hao tanroad nao wamekufa?
Au unaongea kwa kujihalishia?
Kwani nani kaongea habari za kufa? Unawashwa wewe au?

Mtoa mada ka challenge watu waseme hela zilikwapuliwaje na ni nani alikwapua, si ndio tunampa mifano sasa ya jinsi hela zilivyopigwa, we umetokea wapi na bange zako hizi?

Hayo mahaba uliyonayo yanayokufanya usitumie ubongo kufikiria hebu yaweke kwa wazazi wako upate thawabu
 
Pumbavu mkubwa ubongo wako umejaa mavi. Hebu tuambie walivyokwapua na wameziweka wapi. Mfano eleza akaunti walizohamishia na nani alisaini. Namna walivyozibeba n.k.
 
Sasa si wapo waliopewa waitwe watoe majibu pesa ziko wapi kuliko.kujadili jambo ambalo wenye majibu wapo.

Kama mtoa mada anadhani zimeliwa anatakiwa kutoa wazo wakaguliwe na takukuru ili majibu yapatikane?
 
Pumbavu mkubwa ubongo wako umejaa mavi. Hebu tuambie walivyokwapua na wameziweka wapi. Mfano eleza akaunti walizohamishia na nani alisaini. Namna walivyozibeba n.k.
Mbona hasira sana anti? Mi unanikasirikia bure tu, kweli kabisa. Hivi kungekuwa na mashine ya kupimia kiasi cha nnya kwenye ubongo unahisi kabisa kati yangu na wewe nani ni zaidi?

Habari zote katoa CAG, mkaguzi mkuu wa serekali mwenye mamlaka, uwezo na sheria kufanya huo ukaguzi na mbaya zaidi mkaguzi huyu aliwekwa na huyo huyo kiongozi wa awamu ya 5 baada ya kumfuta kazi mkaguzi aliyeonekana kutokuwa upande wenu. Sasa nyie ni watu gani mnagombana na hamuwaamini wakaguzi wote? Mnatakaje kwani, hesabu za serekali zisikaguliwe?
 
Mbona mnakuwa kama watoto wadogo?

Mmesahau namna sakata la Escrow lilivyowekwa wazi? Tuliambiwa pesa namna zilivyo kwapuliwa na hata zilikofichwa. Vivyohivyo hata sakata la Kagoda na Epa.

Mnadai kuna ufisadi mkubwa ulitokea awamu ya tano. Tuambieni namna pesa zilivyokwapuliwa , nani alikwapua na sasa amezificha wapi. Serikali izirudishe.
Haya majizi utayaweza?.Hayawezi kukubali lolote jema, kwao jema ni ovu na ovu ni jema.
 
Mbona mnakuwa kama watoto wadogo?

Mmesahau namna sakata la Escrow lilivyowekwa wazi? Tuliambiwa pesa namna zilivyo kwapuliwa na hata zilikofichwa. Vivyohivyo hata sakata la Kagoda na Epa.

Mnadai kuna ufisadi mkubwa ulitokea awamu ya tano. Tuambieni namna pesa zilivyokwapuliwa , nani alikwapua na sasa amezificha wapi. Serikali izirudishe.

Tuache unafiki. Nyie mnaona halali kupayuka Mambo ya mama Samiah. Lakini, wengine wakipayuka kwa mwendazake mnaomba ushahidi. Yani Ni halali kumsema mama Samiah lakini Ni kosa kumsema Magufuli. Acheni hizo.

Wale waliofanya sherehe kifo Cha Magufuli ndio sio wanafiki walijionesha wazi kuwa walichukia utawala wake.
 
Back
Top Bottom