Msonde maagizo yako yanaipoteza elimu

Msonde maagizo yako yanaipoteza elimu

Unaishi zamani sana sasa

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Kwanini?tukianza mjadala wa CBC hatutamaliza humu,ni ngumu sana kutenganisha CONTENT BASED na COMPETENCE BASED Kwa wanafunzi wa primary na SEKONDARI ,Kwa vyuo vya kati na vikuu inawezekana.

Kuna vitu ilitakiwa vifanyike ndo tuanze kuhimiza competence based Kwa shule za vijijini.
 
  • Thanks
Reactions: K11
Huyu mwamba Msonde mnamwanzishia nyuzi hapa naamini ndiye mtu sahihi kwa sasa.

Hatuwezi kwenda kama tulivyozoea(business as usual).
Lazima apatikane mtu kama huyu mwenye uwezo wa kuchukua maamuzi kubadilisha mambo.
Tayari tumeona ndio watu waliosaidia kuondoa vitabu vya hovyo huko mashuleni.

Ninaanza kuwa na wasiwasi huenda ninyi mmetumwa na watu wa upinde kuleta fitna za kipuuzi hapa.

Acheni madhaifu ya elimu yetu yafanyiwe kazi.Vinginevyo mje na mapendekezo ya nini kifanyike na si kupinga tu ili mpunguziwe kazi

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Yes yes, walizoea kitonga!!!
 
Umemjibu vyema sanaa.
Yeye naye ni sampuli za akina msonde humu jamvini, hakuna anachoelewa kwenye sekta ya Elimu lakini kanajifanya kama vile ni muelewa

Mm ni Mwl sifichi kitu na naipenda kazi yangu, na mm ni kijana, nimeishi quarters za walimu nchi hii tangu nikiwa mtoto mdogo up to now nafanya kazi ya ualimu

Kuna changamoto nyingi zinaikumba sekta hii na hipo siku nitayaleta kwenu hapa tuyajadili, lengo nikusaidia serikali yetu na nchi kwa ujumla, kumbuka hakuna maendeleo bila Elimu bora
 
Walimu saiz wanaandika kuliko hata mwanafunzi, imagine mwalimu wa physics uko peke ako shule nzima na kwasiku vipindi vya F. 1 mpaka 4 ni kama nane hivi tena kila darasa lina mikondo sasa niambie huyu mwalimu anawezaje kuandika lesson plan nane kila siku, ila hawa ni robot halo yani yanaweza eti [emoji23]
😂😂😂😂😂😂 Si tu hivyo,eti Mwl yuko darasani awe anachungulia kwenye lesson plan ili ajue ni tendo gani lifuate?

Mpwayungu!
Hivi ukifuata muongozo unavyosema mada ya wave pale kidato cha 4 ulitakiwa huifundishe miezi mingapi vile?
Vp Electromagnetism?
 
Kwanini?tukianza mjadala wa CBC hatutamaliza humu,ni ngumu sana kutenganisha CONTENT BASED na COMPETENCE BASED Kwa wanafunzi wa primary na SEKONDARI ,Kwa vyuo vya kati na vikuu inawezekana.

Kuna vitu ilitakiwa vifanyike ndo tuanze kuhimiza competence based Kwa shule za vijijini.
Mi ni mmoja kati ya watu ambao wanaunga mkono COMPETENCE BASED EDUCATION 100% ndio tunayoihitaji lakini kiukweli hiyo hatuwezi kukurupuka bila kujiandaa hasa katika mazingira ya utoaji wa elimu kiujumla
1.Walimu wa hiyo kitu waandaliwe na waliopo wanolewe kisawasawa (wengi wa sasa ni CONTENT BASED)
2.Madarasa vitabu na miundombinu yote ya shule iwe katika standard ya hali ya juu pamoja na upatikanaji wake.
3. Mitaala iboreshwe zaidi. Ni lazima tuweke vipaumbele kama nchi tuwe na dira yetu, utoaji wa elimu uendane na falsafa za nchi yetu na mahitaji ya falsafa hiyo.
4. Jamii ilazimishwe kupeleka watoto shule utake usitake, haya mambo ya kuelimishwa yamepitwa na wakati.
5. Muhimu kabisa, maslahi ya walimu ambao ndio watendaji wakuu wa shughuli hii yaboreshwe ifikie hatua kila mtu atamani kuwa mwalimu 😂😂😂😂
 
Yupo sahihi, wewe sio Mwalimu braza, hata msonde huyo anaelewa hili, ebu acheni ujinga kama nchi sekta ya Elimu inahitaji mabadiliko makubwa, hawa viongozi wetu hawajui chochote kwenye Elimu nyadhifa hizi za kina msonde wanapeana tu but kichwani hawana lolote

Nchi tunatakiwa tusimame na moja hasa medium of instructions in our schools both primary and secondary inatakiwa iwe moja, ili ninapo mpokea mwanafunzi from std vii hasiangaike jamani

Kufaulisha anavyotaka kamsonde huyo haiwezekani, labda hatuambie mwanaye anasoma kweli government school hapa au yeye ni miongoni mwa mchungaji asiyeamini kanisa lake?
Nimesoma post yako sijaona hata solution moja zaidi ya malalamiko

Hamtaki kuwajibishwa, hamtaki kutoa taarifa,

Time sasa Kwa kila civil servant kuwa na ajira za mikataba and based on performance
 
Tatizo wanataka mgeuza mwalimu awe mungu Yani hata mtoto mwenye uelewa mdogo awe na uelewa mkubwa Yani mtoto wanapasisha kimagumashi uko akifika sekondari wanataka apate arama B somo la hesabu wakati ufauru wake uelewa wake magumashi

HUYU NDIO MWALIMU WANGU!!!

mgeuza-kumgeuza
mungu-Mungu
Yani-yani
uko-huko
arama-alama
ufauru-ufaulu

Huyu ni mwalimu, hahahahaaa
Una uhakika kiasi gani kuwa ni Mwl?

Ikiwa madai yako ni ya kweli,mwenye kosa ni nani kati ya huyo Mwl na baraza la mitihani waliompitisha kwa mchujo mpaka akafika hapo?

Kuwa mkubwa kichwani ndo ulingane na Honi Sigara.
 
Nimesoma post yako sijaona hata solution moja zaidi ya malalamiko

Hamtaki kuwajibishwa, hamtaki kutoa taarifa,

Time sasa Kwa kila civil servant kuwa na ajira za mikataba and based on performance
Huku ndo kukurupuka, uwa shida yenu ni akili samahani lakini if nimekukwaza, kwani tunashida na hizo ajira za mkataba? Mara ngapi tunaomba tuajiiriwe kimkataba? Tena hizi ajira za kufungana kwa welding haya anayataka nani?

Mm silalamiki nikuwa najaribu kutoa picha halisi na ugumu uliopo kutokana na sera na mawazo ya kijinga kwenye sekta ya Elimu kama hizo za msonde ok

Nahitaji niwe kwenye ajira ya mkataba ili nifanye mambo yangu vyema ok, mm siwezi lalamika ila viongozi wetu hawana akili kichwani full stop, mtu mzima msomi unafeli vipi kusaidia jamii??
 
Mi ni mmoja kati ya watu ambao wanaunga mkono COMPETENCE BASED EDUCATION 100% ndio tunayoihitaji lakini kiukweli hiyo hatuwezi kukurupuka bila kujiandaa hasa katika mazingira ya utoaji wa elimu kiujumla
1.Walimu wa hiyo kitu waandaliwe na waliopo wanolewe kisawasawa (wengi wa sasa ni CONTENT BASED)
2.Madarasa vitabu na miundombinu yote ya shule iwe katika standard ya hali ya juu pamoja na upatikanaji wake.
3. Mitaala iboreshwe zaidi. Ni lazima tuweke vipaumbele kama nchi tuwe na dira yetu, utoaji wa elimu uendane na falsafa za nchi yetu na mahitaji ya falsafa hiyo.
4. Jamii ilazimishwe kupeleka watoto shule utake usitake, haya mambo ya kuelimishwa yamepitwa na wakati.
5. Muhimu kabisa, maslahi ya walimu ambao ndio watendaji wakuu wa shughuli hii yaboreshwe ifikie hatua kila mtu atamani kuwa mwalimu 😂😂😂😂
Umenena UKWELI.
Huyu A MKENDA ana maono mazuri na anaitakia mema elimu yetu,shida mfumo wetu utamkataa na kumuona mpuuzi kabisa.

Wewe fikiria eti somo la hisabati darasa la 7 ni kuchagua majibu?

Kidato cha 4 asiyependa kupata division 1 ndo ata ng'ang'ana kusoma Basic Mathematics,ila km anataka kupata one kupitia masomo mengine ni kuteleza tu kwakuwa F ya Basic Mathematics haina athari hasi kwenye matokeo ya jumla km zamani.

Kitakachotokea ni kwamba licha ya uchache wa Walimu wa hili somo lkn pia wana wakati mgumu sana kumshawishi mtoto alipende somo hili.

Lkn mwisho wa siku Mwl huyu naye kasainishwa mikataba iliyotajwa na mtoa mada.

Tujiandae kushuhudia uhaba mkubwa wa Walimu wa masomo yanayohusiana na kukokotoa lkn pia wataalamu wa mahesabu hapa nchini baadae kidogo ktk kipindi ambacho tunaigiza kulipa kipau mbele somo la computer.
 
Back
Top Bottom