Mstaafu ambaye alishastaafu lakini hataki kustaafu 'anastaafishwa'

I
Like zis comment
 
Hao ni vilaza na mafisadi kama baba zao CCM bei ya mafuta kwao sio muhimu wao wanapenda sana umbeya tu
Wanalipiwa kila kitu bure watoto wao wako wanaishi Marekani, canada, Uk na SA hawana habari
 
Deep state wa bongo ni wapuuzi tu kwanza wapo chini ya influence ya CCM na wapo sana kulinda maslahi ya CCM mngekuwa mnajitambua mwendazake asingeweza kufanya vitu vya ajabu namna Ili
Kama deep state na usalama, basi hiyo deep state ni TAKATAKA.
 
Hii paragraph ya mwisho ni nzito mno. Natamani kila kiongozi aishike hii.
 
sahihi
 
Afadhali hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…