Mstaafu wa Jeshi atuhumiwa kuua kwa risasi kisa mgogoro wa mipaka

Very true. Sasa yeye ataozea jela, na watoto/ndugu hawataitaka hiyo ardhi tena iliyosababisha mauaji. Kuna watu wajinga sana dunia hii. Sasa sijui kapata faida ganihuyo aliyoua. Alidhani kwenda kujificha kungemsaidia?
Ameua bila kukusudia atahukumiwa kifungo Cha nje ataendelea kukaa kwenye kiwanja chake
Hasara kwa marehemu
 
Ameua bila kukusudia atahukumiwa kifungo Cha nje ataendelea kukaa kwenye kiwanja chake
Hasara kwa marehemu
Unajua kesi za jinai Tanzania zinavyokuwa...Ametumia silaha Kaka hapo na alikuwa Ndani utampata state attorney gani aitoe kwenye murder aiweke kwenye manslaughter!!!
Upelelzi kukamilika hapo ni Mwaka
Kuanza kusilikiza kesi miaka miwili
Ardhi Tanzania bado IPO kubwa Sana...Hapo alipo anajuta sana.
Leo hii akifa anaenda kuzikwa kwenye shamba la magereza...
 
inaumiza sana aisee. Na mimi naondoka sasa ila kesho nitakuwepo.
...Inaumiza Sana. We una Miaka 71, umeishatimiza Miaka Mungu aliyomuwekea Binadamu, halafu unaua Mtu wa Miaka 48 ambaye ndio kwanza ndio NguvuKazi ya Dunia na Bado Dunia inamuhitaji Sana??? Huo Mjeshi akaozee
Jela ....!![emoji26][emoji26]
 
We noma umeleta Mfano hai
 
Wastaafu wengi wa JWTZ huwa na mahusiano mabaya na jamii zinazowazunguka huku uraiani.
 
Jonas Ziganyige (71) mstaafu wa Jeshi la Wananchi, Mkazi wa Mbezi Juu kwa tuhuma za kumpiga risasi na kumuua Patient Romwadi (48) mfanyabiashara, Mkazi wa Wazo Mivumoni, Kinondoni katika mgogoro wa mipaka.
Unatishwaje na raia? Chomoa cha moto maliza kazi, jamaa nalo jinga mtu ana cha moto unaanza kumwomba nipige uone, unakula ya kichwa, hiki kibabu nadhani kilikuwa kibodigadi cha Nyerere moja tu jamaa chali
 
Mpaka anajitokeza alishaweka mambo sawa
 
Baadhi ya wanajeshi wana tabia moja ambayo sio sawa wanapostaafu wakiingia uraiani bado wanakuwa na mawazo ya kibabe kitu ambacho sio kweli na ndio maana nimesema baadhi.Mtaani kwetu yupo mmoja alikuwa hivyo alikuwa anataka kila mtu amsujudie.Alikufa kifo cha mungu tu kuugua lakini wakati anaugua nadhani ndio aliona madhara ya matendo yake hakuna mtu alikuwa anakwenda kumsalimia amekufa kama mbwa akazikwa kama mbwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…