Mstaafu wa Jeshi atuhumiwa kuua kwa risasi kisa mgogoro wa mipaka

Ameua bila kukusudia atahukumiwa kifungo Cha nje ataendelea kukaa kwenye kiwanja chake
Hasara kwa marehemu

-What is Murder and what is manslaughter?
And how do you establish Malice aforethought in the offense of murder?
 
Nimepakana na jamaa mmoja (mhirack) pasua kichwa! Kichwani mweupe haelewi kila siku ugomvi! Uzuri natenganishwa naye na barabara. Anatamani ahamishe/achepushe barabara ije kwangu! Ukiwa na jirani kama huyu na ukawa mpole, uwe na uhakika atakunyanganya eneo lako! Wakati mwingine inabidi ukomalie mali yako na ya watoto wako no matter what!
Mimi ninaye jirani kama huyo wa kwako, tena huko huko maeneo ya wazo. Yeye kafukia barabara ili ihamie kwenye ardhi yangu, hivyo kaongeza kiwanja chake kwa kufukia barabara ya zamani. Naye ni askari mtaafu alafu Mchaga. Ukiirudisha barabara kwenye njia yake ya asili, yeye anaamka saa 8 usiku anaifukia tena. Yaani ni shida!
 
Vita ya mchaga kwenye ardhi huwa hainaga mwisho
 
Nimepakana na askari wawili kwenye eneo langu wote tuliuziwa na mtu mmoja aliyeamua kuuza eneo lake vipandevipande, mmoja alinikuta nimeshanunua na mwingine nilimkuta. viwanja vyote vilikuwa vimepimwa. tuliamua kupitia mipaka kwa pamoja ukaibuka mgogoro wa mipaka.

Nilijaribu kutafuta suluhu bila mafanikio, mmoja alikubaliana na bikoni zilizowekwa mwingine alikataa nikaamua kumwachia kijisehemu anakong'ang'ania.

lakini wote 2 walikuwa wababe. Ingawa mmoja alikuwa muelewa na alivitambua vipimo na bikoni za wataalamu.

Itakuwa ni shule na shughuli za jeshi zinawaathiri kwa kiasi fulani baadhi yao hawa wenzetu.

tunawaomba wenzetu mjitahidi kuishi vyema na jamii. Matumizi ya nguvu sio mara zote huleta suluhu.

Jirani yangu ni mwanajeshi
Amejenga Karo kwenye uwanja wangu

Hatujawahi kumuuliza wala kusema neno
Tunajipanga kuweka ukuta kimya kimya

Siyo uoga ila ni kuepusha Shari.
 
Vita ya mchaga kwenye ardhi huwa hainaga mwisho
Yaani ni tabu tupu. Tena mzee mwenyewe ni Alumni wangu, alisoma shule ambayo na mimi baadae sana nilikuja kusoma. Hivyo nilitegemea uhusiano mzuri kati yetu. Nimezungukwa na wachaga wengine wawili ila hao wako poa sana.
 
Wana hila sana hao watu
 
-What is Murder and what is manslaughter?
And how do you establish Malice aforethought in the offense of murder?
Kama hio bastola aliiacha ndani akaifata akatoka mpaka nje akaikoki akampiga huyo mwingine hio ndo malice afore thought sababu kwa muda alioutumia kwenda ndani kuitafuta katika akili ya kawaida anaweza hata ghairi kutaka kuitumia ila kama ilikua ipo kiunoni akampiga jamaa mara moja..hio ni manslaughter ila kwa kupiga risasi tatu huyo alidhamiria kumuua
 
-What is Murder and what is manslaughter?
And how do you establish Malice aforethought in the offense of murder?
Kama hio bastola aliiacha ndani akaifata akatoka mpaka nje akaikoki akampiga huyo mwingine hio ndo malice afore thought sababu kwa muda alioutumia kwenda ndani kuitafuta katika akili ya kawaida anaweza hata ghairi kutaka kuitumia ila kama ilikua ipo kiunoni akampiga jamaa mara moja..hio ni manslaughter ila kwa kupiga risasi tatu huyo alidhamiria kumuua
 
Mimi ninaye jirani kama huyo wa kwako, tena huko huko maeneo ya wazo. Yeye kafukia barabara ili ihamie kwenye ardhi yangu, hivyo kaongeza kiwanja chake kwa kufukia barabara ya zamani. Naye ni askari mtaafu alafu Mchaga. Ukiirudisha barabara kwenye njia yake ya asili, yeye anaamka saa 8 usiku anaifukia tena. Yaani ni shida!
Hivi viwanja ukitaka kununua inabidi ukutanishwe na jiran umsome tabia sasa maana jiran kama wako unaweza ukaacha nyumba 😀😀😀
 
Back
Top Bottom