jkipaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2019
- 6,963
- 9,401
Nakazia kwenye idadi ya Risasi tu!!aliua bila kukusudia halafu akaenda kujificha kibaha. Risasi tatu ni za kuua bila kukusudia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakazia kwenye idadi ya Risasi tu!!aliua bila kukusudia halafu akaenda kujificha kibaha. Risasi tatu ni za kuua bila kukusudia?
Tumesema weee watu bado hawatali elewa. Bunduki au bastola unayo ya nini?! Una benki kwako?! Una mgodi wa madini yenye thamani?! Una….Jonas Ziganyige (71) mstaafu wa Jeshi la Wananchi, Mkazi wa Mbezi Juu kwa tuhuma za kumpiga risasi na kumuua Patient Romwadi (48) mfanyabiashara, Mkazi wa Wazo Mivumoni, Kinondoni katika mgogoro wa mipaka.
Mtuhumiwa anadaiwa kufanya tukio hilo Julai 9, 2022 ambapo marehemu alifika eneo akiongozana na Recy Renso (52) kwa lengo la kuangalia mipaka ya kiwanja chake, ndipo mtuhumiwa akatoka ndani akiwa na hasira akampiga risasi Romward na baada ya tukio alikimbia kabla ya kukamatwa Julai 10, 2022 akiwa Kibaha Maili Moja, Pwani alikokuwa amejificha.
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Muliro Jumanne amesema wameipata silaha aliyotumia ambayo ni Mark IV ikiwa na risasi 4, atafikishwa Mahakamani kujibu mashtaka yanayo mkabili.
Wakati huohuo, Jeshi la Polisi Kanda Maalum linaendelea pia na jitihada za kuzuia vitendo vya kihalifu kwa kufanya Oparesheni kali inayoongozwa na taarifa fiche dhidi ya Uhalifu na Wahalifu katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam.
Watuhumiwa 8 sugu wa uvunjaji nyumba na kuiba vifaa vya magari akiwemo Jumanne Omary (28) Mkazi wa Mikwambe na wenzake 7 wamekamatwa wakiwa na Tv flat screen za aina ya mbalimbali 4, laptop mbili, sab ufa moja, simu aina mbalimbali tano pamoja na vifaa vya kutendea uhalifu vikiwemo mikasi miwili mikubwa ya kuvunjia, panga moja, kisu kimoja, Prize na Bisibisi, Tochi na Nyaraka mbalimbali.
Pia gari lenye namba za usajili T.787 DGW aina ya Toyota Gaia limekamatwa kwa kuhusishwa na kutumiwa kwenye vitendo vya kihalifu.
Jeshi la Polisi Kanda Maaluma ya Dar es Salaam linatoa wito kwa wananchi kuacha kujihusisha na vitendo vya kihalifu kwani kwa kufanya vitendo hivyo watakamatwa na watajikuta wakiwa katika msuguano mkali wa kiseria na vyombo vya dola.
Bado hajamwambia! Ndiyo anataka siku moja aje amwambie atowe mabati yake juu kwake! Sasa akisha mwambia ndiyo tunaweza sema huo ndiyo mfano Hi baada ya mrejesho!!!We noma umeleta Mfano hai
Sana umenena mkuu ndio maana huwa nachukiaga sana mambo ya JeshiWastaafu wengi wa JWTZ huwa na mahusiano mabaya na jamii zinazowazunguka huku uraiani.
eddy hana akili,Yuko Kama wale Watoto walioaanza kula vidonge toka wakiwa tumboni! akili zao wanazijua wenyewe!!!- Haya Sasa hivi nenda Rumande ukampelekee Wali na maharage
Yah kabla ya kununua kiwanja angalia pia na majiraniHivi viwanja ukitaka kununua inabidi ukutanishwe na jiran umsome tabia sasa maana jiran kama wako unaweza ukaacha nyumba [emoji3][emoji3][emoji3]
Mifumo yetu ya Sheria na haki kwenye Aridhi ikisimama vizuri tu,huyo Mchaga mbona ana surrender mapema tu! Mchaga kwenye Vita ya Aridhi huwa anapenda kucheza na watu wa ndani ili kufanikisha dhuluma yake!!Vita ya mchaga kwenye ardhi huwa hainaga mwisho
Wao waliiambiwaa Uwaanaume ni kumiliki Aridhi kadri kwa nguvu ulizonazoNdugu zetu hawa sijui waliambiwa nn bustan ya eden kuhusu ardhi [emoji3][emoji3][emoji3]
Siyo Wanajeshi wote wana akili! Sifa kuu no moja ya Mwanajeshi aliyeivaa ni kua mvumilivi sana kwa raia wa Nchi yako hata Kama unajua unamilki AKA 47! Just be cool hata kama amekutusi!! Na Kama umeshindwa kumvumilia mpeleke kwenye vyombo vya Sheria huko wakamtafsirie hizo Sheria zinasemaje!!Unafanyajje mauaji alafu unakamatwa kizembe hivo Ani maiili Moja ndo kamaliza kujificha.. Tena former Tpdf
... Hahahh
Ukipakana nao hao hakikisha mkishaelewana kwamba mpka ni huu, kesho yake jenga ukuta! Maana ukiacha wazi kwamba tumeshaelewana kesho anakuja kusogeza tenaKupakana na askari yeyote wa jeshi la Tanzania ni changamoto kubwa sana. Wale wanao pakana nao nikiwemo mimi tulio wengi itakuwa tunajuta sana. Japo si wite, ila walio wengi wao wanajifanya wababe sana.
Bado hujamalizia listUkipakana nao hao hakikisha mkishaelewana kwamba mpka ni huu, kesho yake jenga ukuta! Maana ukiacha wazi kwamba tumeshaelewana kesho anakuja kusogeza tena
Ila yote kwa yote watu wa morogoro wana ugomvi wa ardhi hatari
Wengine mpaka wanaweka mgombaMambo ya mipaka yanasumbua sana
Dawa yao watu kama hao unazungusha ukuta eneo lako lote unaacha wanaangaika nje ya ukuta hukoMimi ninaye jirani kama huyo wa kwako, tena huko huko maeneo ya wazo. Yeye kafukia barabara ili ihamie kwenye ardhi yangu, hivyo kaongeza kiwanja chake kwa kufukia barabara ya zamani. Naye ni askari mtaafu alafu Mchaga. Ukiirudisha barabara kwenye njia yake ya asili, yeye anaamka saa 8 usiku anaifukia tena. Yaani ni shida!
Namshauri Mulilo awe anaenda site asingoje taarifa za kuletewa mezani na hao nyakunyaku wake, taarifa anazopewa ni matangopori hazina uhalisia.Jonas Ziganyige (71) mstaafu wa Jeshi la Wananchi, Mkazi wa Mbezi Juu kwa tuhuma za kumpiga risasi na kumuua Patient Romwadi (48) mfanyabiashara, Mkazi wa Wazo Mivumoni, Kinondoni katika mgogoro wa mipaka.
Mtuhumiwa anadaiwa kufanya tukio hilo Julai 9, 2022 ambapo marehemu alifika eneo akiongozana na Recy Renso (52) kwa lengo la kuangalia mipaka ya kiwanja chake, ndipo mtuhumiwa akatoka ndani akiwa na hasira akampiga risasi Romward na baada ya tukio alikimbia kabla ya kukamatwa Julai 10, 2022 akiwa Kibaha Maili Moja, Pwani alikokuwa amejificha.
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Muliro Jumanne amesema wameipata silaha aliyotumia ambayo ni Mark IV ikiwa na risasi 4, atafikishwa Mahakamani kujibu mashtaka yanayo mkabili.
Wakati huohuo, Jeshi la Polisi Kanda Maalum linaendelea pia na jitihada za kuzuia vitendo vya kihalifu kwa kufanya Oparesheni kali inayoongozwa na taarifa fiche dhidi ya Uhalifu na Wahalifu katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam.
Watuhumiwa 8 sugu wa uvunjaji nyumba na kuiba vifaa vya magari akiwemo Jumanne Omary (28) Mkazi wa Mikwambe na wenzake 7 wamekamatwa wakiwa na Tv flat screen za aina ya mbalimbali 4, laptop mbili, sab ufa moja, simu aina mbalimbali tano pamoja na vifaa vya kutendea uhalifu vikiwemo mikasi miwili mikubwa ya kuvunjia, panga moja, kisu kimoja, Prize na Bisibisi, Tochi na Nyaraka mbalimbali.
Pia gari lenye namba za usajili T.787 DGW aina ya Toyota Gaia limekamatwa kwa kuhusishwa na kutumiwa kwenye vitendo vya kihalifu.
Jeshi la Polisi Kanda Maaluma ya Dar es Salaam linatoa wito kwa wananchi kuacha kujihusisha na vitendo vya kihalifu kwani kwa kufanya vitendo hivyo watakamatwa na watajikuta wakiwa katika msuguano mkali wa kiseria na vyombo vya dola.
...Ataachia Vingapi! Tetes Haki Yako, ikibidi kufa, Ufe!Huo ni unyonge ...ni kwenda kumshtaki tu
BRO usimlamumu marehemu bila sababu mtu akichomoa akakoki hata ukimbie itakupata tu.Mtu unajua ni mjeda, anachomoa chamoto anakoki upo tu, mjinga sana, na hiki kibabu siajabu alishakitishia maisha, kikamfanyia timing kama kako vitani darfur