Mstari mwekundu wa Iran umeshavukwa lakini bado wanatii amri

tunachojiuliza sisi wengine ni kwamba, iran ilisema kama Israel wangeingia Gaza, Iran ingeingilia kati, ila sasaivi Israel keshaingia kitambo kweli Gaza na irani kabana makalio harufu mbaya isitoke. nilikuwa sijui kama iran ana nidhambi kiasi hiki.
 
Nilidhani pana Taifa kubwa hata moja lililofunga ubalozi wake, kumbe ni hao tu.Netanyahu hana hata habari nao watajirudisha wenyewe.
Pole yako.
Wacha nikueleze athari yake nini.
Maraifa ya jirani yakiwa na uhusiano mmbovu na wewe was kidiplomasia ni hatari kwa Afya ya usalama was taifa lako na hatari kiushawishi wa nje na mipaka ya Kanda Yako.
Pili hayo mataifa ya nje na ghuba ya mashariki ya kati yalikua miongoni mwa mataifa yanayochochea ushawishi was Israel maeneo mengine,kujitoa kwao Israel anarudi nyuma kuwa na maadui wengi kidiplomasia.Usisahau kuwa hata USA atashindwa kuwa na wakumuunga mkono kwaajili ya Israel
 
tunachojiuliza sisi wengine ni kwamba, iran ilisema kama Israel wangeingia Gaza, Iran ingeingilia kati, ila sasaivi Israel keshaingia kitambo kweli Gaza na irani kabana makalio harufu mbaya isitoke. nilikuwa sijui kama iran ana nidhambi kiasi hiki.
Pole yako.
Houthi wanafyatua drones na makombora kwa amri ya Iran,Hizbollah wanashambulia Kaskazini mwa Israel na mfadhili silaha ni Iran.
We ulitaka aingiliaje???
 
Imebidi nitabasamu tu hapo pa Iran akiamua [emoji4][emoji4]
Endelea kutabasam ila nadhani unaelewa kwanini USA anaipigia kelele Iran.
Maana anajua Iran imewahi kuwaonjesha joto la jiwe .
 
Pole yako.
Houthi wanafyatua drones na makombora kwa amri ya Iran,Hizbollah wanashambulia Kaskazini mwa Israel na mfadhili silaha ni Iran.
We ulitaka aingiliaje???
hawajaidhuru Israel kwa lolote, kati ya watu israel anawea kulala usingizi bila kuwafikiria ni waasi wa Huth wa Yemeni. kidogo sana anawafikiria Hezbollah ambao akimalizana na Hamas tu ana ratiba ya kuwafuta pia. jiandaeni kuanza kulia lia tena kwamba israel asitishe mashambulizi Lebanon kwasababu raia wanakufa. mnakuwaga wa kwanza kushangilia ila mwishoni mnajua kweli kweli kulialia. Israel alishaiambia Lebanon kama haitaidhibiti hezbullah ataichukulia kama ni failed state hivyo Israel atakuwa na sababu ya msingi kuingia Lebanon kufuta kikundi cha hezbollah, magorofa mengi yatadondoshwa, kipindi kile walikula hasara kweli hao hezbollah walipoteza majengo mengi waliyokuwa wanamiliki na biashara nyingi, na ndicho kinachoend akutokea muda si mrefu. just stay tuned. Israel hawezi kuimaliza hamas kama tishio akaliacha tishio lingine kaskazini likiwahai. wameshaapa hilo. na kwa Yemen, hao haiwezi kuchukua hata wiki,watakuwa wameshaisha.
 
Unadhani gaza ni sehemu ambayo unaweza toka tu kwenda nchi nyinhine kirahisi?
 
UNAONGEA KWA MIHEMKO,WACHA NIKUFUNDISHE KIJANA UACHE MIHEMKO.
Kipindi houthi anarusha drones na makombora aliyeyadungua ni USS,iliongeza tension na meli zaidi ya 5 ziliongezwa Mediterranean sea.
Kutoka Yemen mpaka ghuba ya Israel ni mbali sana nadhani unaelewa kwanini tension iliongezeka na meli zikaongezwa zikiwa na missile interceptor maana IDF Haina missile interceptor Ina rocket interceptor.
Vita ya hizbollah ya 2006 ilichofanya Israel ni kuharibu Miundombinu kupunguza hasira za kupigwa bint jubeir kuburutwa mpka shebah farms.Israel ni taifa linaloua raia kuwahofisha maadui hasta Leo wamelipua gari ya raia mama na wanae watatu kusini MWA Lebanon hizbollah ikajibu na kuleta maafa katika vijiji vya mpakani na kuharibu military infrastructure.
Halafu usisahau hizbollah ina military radar kijana Toka 31 October drone 5 za IDF zilidunguliwa na makombora ya hizbollah.
Pia hizbollah Ina mpk long range ballistic missiles ambazo Leo zimepiga military post 4 za IDF na kuharibu miundombinu na kuua raia mmoja na wanajeshi watatu.
Hizbollah ana guided missile ambazo zinaweza fika popote ndani ya Israel na hilo IDF spokesperson alikiri mwenyewe mnamo tarehe 9 October.
Houthi sio Hamas.
Kama Houthi ameweza kumtikisa Saudi Arabia ambae alikua akilindwa na silaha za US usidhani ni mtu mdogo.
Pima umbali kutokea Yemen mpaka Israel ni umbali Gani na drone pamoja na missiles walizorusha Houthi zilifika japo US navy walizidungua.
HIZBOLLAH NA HOUTHI SIO HAMAS WANA KILA AINA YA ZANA ZA VITA KIJANA NDIO MAANA USA ANAPIGA KELELE KWA IRAN,USA SIO CHIZI ANAELEWA UWEZO WA SILAHA ZA IRAN NDIZO ZINAZOMUUMIZA KICHWA UKRAINE ZIMITUMIWA NA RUSSIA .
Usijidanganye kuwa Israel inalala usingizi kwa Raha Kaskazini mwa Israel raia wamehama vijiji kuiogopa hizbollah na raia takriban 2 lakhs+ wanaripotiwa kuhama nchini kwao maana wanajiuliza kama Hizbollah ikiamua full scale war itakuaje maana hata 2006 miji ya Israel ilionja makombora ya hizbollah.
 
asingedungua marekani yalikuwa yanaenda kudunguliwa na iron dome za israel. unawezakuwa hauzijui hizo. na wakijaribu kurusha maeneo ya karibu hayatafika kwenye miji, yatafika jangwani ambako wanaishi waisrael wenye imani ya kiislam kama wao. kama hujui, kule kusini mwa israel kuna aina fulani ya waarabu wanaitwa "MABEDUI", hawa ni takribani 150,000, wafugaji wanahamahama kama wamasai, though kuna kipindi israel iliwapa haki ya kuwa na vijiji. wanaishi kusini mwa israel, na kama huth watarusha roket zikapita bila kudunguliwa na meli za marekani, itaenda kuathiri ndugu zao wa kiarabu na israel hawezi kuona hasara hiyo. though ni kitu kibaya. hawa mabedui ndio hata hapa tanzania wapo kibao tu, ni hao waarabu wengine kama machotara fulani, wamesambaa kuanzia kusini mwa israel, maeneo ya yemen, oman, sudan na maeneo ya elitrea hadi misri. hao ndio watadhurika.
 
Unachekesha wewe.
Kumbuka hayo makombora ni guided missiles sio roketi zinazorushwa bila muelekeo na kutua popote
Zile kombora na drone kama zingepita zingeathiri katikati mwa Israel sio jangwani acha kujidanganya.
Pia IRON DOME NI ROCKET INTERCEPTOR SIO MISSILE INTERCEPTOR KIJANA NDIO MAANA MPAKANI NA LEBANON IRON DOME ZIPO ILA ZIMESHINDWA KUDUNGUWA MAKOMBORA YALIYORUSHWA NA HIZBOLLAH VIJIJI VYA MPAKANI NDIO MAANA IDF IKAAMUA KUHAMISHA WANAKIJIJI KWENDA CENTRAL ISRAEL.
Kumbuka mashambulizi alofanya houthi dhidi ya Saudi Arabia katika oil plant za Saudia,oil plant za Saudia zilikua zikilindwa na mfumo wa anga wa USA ila ukafelishwa oil plant ya Saudia ikalipuliwa sip chini ya mara tatu na houthi na kusababisha hasara kubwa ya kiuchumi.
WATU HUMU WANAJUA KAMA NADANGANYA WANISUTE.
 
kwani iron dome inakamata makombora ya aina gani wewe mburukutu? kama issue ya kuwa guided misile ni kwamba kombora halidondosheki kwani hata hao marekani wangeweza kulitungua? una ubongo kweli wewe? au shida ni elimu dunia?
 
kwani iron dome inakamata makombora ya aina gani wewe mburukutu? kama issue ya kuwa guided misile ni kwamba kombora halidondosheki kwani hata hao marekani wangeweza kulitungua? una ubongo kweli wewe? au shida ni elimu dunia?
Kijana Kuna roketi na Kuna kombora.
Na Kuna aina nyingi ya makombora .
Uwezo wao pia unatofautiana.
Nitakuja kuelezea hapa
 
Kijana Kuna roketi na Kuna kombora.
Na Kuna aina nyingi ya makombora .
Uwezo wao pia unatofautiana.
Nitakuja kuelezea hapa
una uhakika gani kwamba hicho walichofanya wamarekani kudungua hayo makombora kisingeweza kufanywa na waisrael? we una miaka mingapi? kama guided misile haiwezi kudondoshwa na waisrael, mbona imedondoshwa na wamarekani? that means kile walichokifanya wamarekani kama kombora lisingedunguliwa lingeenda kudungulliwa na waisrael. ndio hoja.
 
Iron Dome haidungui kila kombora, inadungua yale yatakayo leta madhara pekee yale yanayoenda anguka sehem salama yanaachwa yanapita
 
kwani iron dome inakamata makombora ya aina gani wewe mburukutu? kama issue ya kuwa guided misile ni kwamba kombora halidondosheki kwani hata hao marekani wangeweza kulitungua? una ubongo kweli wewe? au shida ni elimu dunia?
Iron dome ni missile interceptor

Lkn kuna mifumo kama David's Sling haichi hata punje ya mchele ipite
 
Iron dome ni missile interceptor

Lkn kuna mifumo kama David's Sling haichi hata punje ya mchele ipite
Ingekua ni missile interceptor Inge intercept makombora ya hizbollah.
Na makombora ya hizbollah yote yameleta madhara kaskazini mwa Israel.
Pia hata US navy walivyodunguwa makombora ya houthi walisema kuwa iron dome ni rocket interceptor hiyo kauli siisahau mpaka sasa.
Na kama inadunguwa yenye madhara peke yake swali linakuja je,mbona imeshindwa kudungua makombora ya hizbollah ambayo yameleta madhara kwenye miundombinu yao ya kijeshi na kuua baadhi ya wanakijiji wa mpakani?????
 
Kawaulize USS kwanini wamesema iron dome haina uwezo wa kudungua guided missiles?
Pia tazama taarifa za habari huko mpakani mwa Israel na Lebanon missiles zinazorushwa na hizbollah 90% zimepenya na kuleta madhara kwa wanakijiji na wanajeshi wa IDF na iron dome ilikuwepo.
Majibu unayo mwenyewe.
 
Meanwhile, tupo sisi wa Dar na Dodoma, tuna uchungu zaidi kwa madhila ya wapalestina kuliko hata viongozi wa kipalestina
 
Mzigo ndo umeingia Israel toka USA .Iran anasubiriwa aanze wampe za uso
 

Attachments

  • f9037107cffa78ccaa26d068a6669234.mp4
    20 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…