Msumari wa moto: Mabinti wengi hamjitambui na vazi la u great thinker haliwatoshi au haliwafai

Msumari wa moto: Mabinti wengi hamjitambui na vazi la u great thinker haliwatoshi au haliwafai

Sema Legend unapitia magumu sana aisee 🤣🤣🤣
Kama vipi niwe PS wako sio mtu anakufikia kizembe zembe tu aonane kwanza na mimi halafu mimi ndio nimruhusu 😅😅😅
Niko fit 😀
The legend Moloch.jpeg
de39cce7-3e1b-4da6-9a02-20612b8f596f.jpeg
4aa58c03-e594-4d7b-a0d1-23599ed0612b.jpeg
 
Nakuwa Anonymous tu, nakuwa narusha kawaida kama wmakombora yote 🤣
Na ushahidi wa kila kitu yaani nasagia kunguni lengo ni kuwarekebisha hawa waliochomwa na Msumari huu 🤣
Hahhaa ujipange maana ni kama sio binadamu wagonjwa vilee🤔
Halafu na wewe umo eti 🤣
Hee kwanini?🙆🏽‍♀️
 
Back
Top Bottom