Msumari wa moto: Mabinti wengi hamjitambui na vazi la u great thinker haliwatoshi au haliwafai

Aisee uchome tu kote wenye shida kubwa humu wala sio mabinti aisee🤔
Haina haja ya kuchoma kotekote lengo ni-ku neutralise tu mambo 😄😄😄
Ulisoma reply yangu, sijachoma mtu msumari ila nime neutralise bila kupendelea mtu.

Hivi kwanini Legend Mshana Jr kaandika huu uzi ? Na ule Pipo za JF ? Members makoromeo hawana? Mafriji hayagandishi Au wanadeka sana ?

Mshana Jr naomba unisaidie Mkuu kujibu hizo hoja zangu
 
Reply ipi? Maana ninamjibu Missy Gf hapa! Sielewi kitu..
Hivi kwanini Legend Mshana Jr kaandika huu uzi ? Na ule Pipo za JF ? Members makoromeo hawana? Mafriji hayagandishi Au wanadeka sana ?
Anachangamsha tu genge sisi ndio tuko serious na nyuzi zake!
Mshana Jr naomba unisaidie Mkuu kujibu hizo hoja zangu
😁
 
Pipe za JF bhana 🤣🤣🤣
Sijui Legend kafikiria nini na hizi nyuzi hasa huu Msumari wa moto
Kaja na idea nzuri ila cha ajabu amelenga mlemle, humu matukio ya kushangaza ni mengi sana!

Kama kuna tukio linaendelea hivi sasa unaenda kuonana na mtu anakuja kujisifia kashapiga😂

Unaongea na mtu mambo ya kawaida anaenda kuyatwist huko uonekane we ni wa ajabu!

Mwezi mchanga anamuoma mwingine hayuko timamu wakati yeye ndio ana kila dalili za kuweweseka na mtandao🤣

Yani vioja over vioja!
 
Dooh 🤔
Na hapa unawazungumzia "Me" hao bado hawajawa matured kabisaaa.
 
Back
Top Bottom