Msumari wa moto: Mabinti wengi hamjitambui na vazi la u great thinker haliwatoshi au haliwafai

Msumari wa moto: Mabinti wengi hamjitambui na vazi la u great thinker haliwatoshi au haliwafai

Hata ke wapo wasiojitambua pia! Ni vile wanaogopana kuambizana sio kama me kuchanana live ni kugusa tu! Imagine wale kina Lucas na tlaatlaa wangekuwa wa kike ingekuwaje🤣
Imagine wale kina Lucas na tlaatlaa wangekuwa wa kike ingekuwaje🥱🙌🏿😂🙆🏿‍♂
 
Kaja na idea nzuri ila cha ajabu amelenga mlemle, humu matukio ya kushangaza ni mengi sana!

Kama kuna tukio linaendelea hivi sasa unaenda kuonana na mtu anakuja kujisifia kashapiga😂

Unaongea na mtu mambo ya kawaida anaenda kuyatwist huko uonekane we ni wa ajabu!

Mwezi mchanga anamuoma mwingine hayuko timamu wakati yeye ndio ana kila dalili za kuweweseka na mtandao🤣

Yani vioja over vioja!
Mwezi mchanga anamuoma mwingine hayuko timamu wakati yeye ndio ana kila dalili za kuweweseka na mtandao😂
 
Khaaaa 🤣🤣🤣🤣
Kwani na wewe jewellery limekupata ?
Sijui Legend wamemfanya nini hawa Vijana ? Najiuliza Wanamdekea sana ? Mafriji hayagandishi au hawana makoromeo ???
8d31c7f2-9c75-4bda-be71-8591dec4e154.jpeg
 
Khaaaa 🤣🤣🤣🤣
Kwani na wewe jewellery limekupata ?
Sijui Legend wamemfanya nini hawa Vijana ? Najiuliza Wanamdekea sana ? Mafriji hayagandishi au hawana makoromeo ???
Ndio limenipata, kwani mshana anaongea na kina nani😂

Wamemtapeli vijana sio wazuri😁

Mafriji hayana luku, mtu tangu azaliwe hajawahi kuonana na mtu kwa heshima kwanini asije kujitapa hapa😎
 
Back
Top Bottom