Msumari wa moto: Mabinti wengi hamjitambui na vazi la u great thinker haliwatoshi au haliwafai

Nimegundua hayo mavitu yako hayafanyi kazi. Kama mpaka leo hujaangusha kitu fasta 😂 😂 😂 😂

Uganga muachie Tekelo aliyekuwa anawarubuni watu miaka ile ya 80. Eti anatoa wachawi...eto mwanadamu kageuka chatu Buguruni.

Ujinga kitu kibaya sana. Imagine mpaka leo watu wanaogea maji hata ya watu wasiopumua ili kusafisha nyota. Na zimegoma kutakata😂😂😂😂😂
Ila ujue niliroga sana hata hapa JF😀🙌🏿
Wengine niliwanasa wengine niliwakosa wengine walinishinda🔥🤣
 
Amen Amen

Bwana ni mwema, wakati wote

Ametenda mema huyu Yesu ndiyo maana Leo ninamtukuza

Ametenda mema huyu Yesu ndiyo maana leo ninamuimbia

Ndiyo maana, leo

Ndiyo maana leo,

Ndiyo maana Leo
d13eae37-2bb5-444d-afb7-dd3d197440a1.jpeg
 
Nimegundua hayo mavitu yako hayafanyi kazi. Kama mpaka leo hujaangusha kitu fasta 😂 😂 😂 😂

Uganga muachie Tekelo aliyekuwa anawarubuni watu miaka ile ya 80. Eti anatoa wachawi...eto mwanadamu kageuka chatu Buguruni.

Ujinga kitu kibaya sana. Imagine mpaka leo watu wanaogea maji hata ya watu wasiopumua ili kusafisha nyota. Na zimegoma kutakata😂😂😂😂😂
Waliosema tekelo si mganga sikumbili tatu maembe kudumla. Ndiyo ilikuwa nyimbo zetu tukiimba tekelo.
 
1789004075060.jpg

Kuweka HADHARANI taarifa ya KUTONGOZWA ambayo ni FARAGHA, ni kuthibitisha UWEZO MDOGO WA KUTUNZA SIRI ZA NCHI.

Kimaumbile, MWANAUME ameumbwa kuwa JASIRI hata ANAPOTONGOZWA. Siyo SIFA NZURI kwa Kiongozi KUKIMBILIA POLISI kwa jambo dogo tu la KUTONGOZWA.😂😂😂
Manyanza
 
View attachment 3667254

Huyu nae utakuta ana mke eti🤣
 
Back
Top Bottom