Msumari wa moto: Mabinti wengi hamjitambui na vazi la u great thinker haliwatoshi au haliwafai

Msumari wa moto: Mabinti wengi hamjitambui na vazi la u great thinker haliwatoshi au haliwafai

Shalom Bwana Asifiwe, Tumsifu Yesu kristo

Nasikia Yesu waniita,
Kwa mlio wa neema yako,
Ntawezaje bado kuziita wako, kufuata mwaliko...

Yesu wataka nikupende, nivumbue wangu moyo

Kujificha ndani nipeende nionje tamu uuh raha yoooh

Yesu wataka nikupende
Yani uko gado ni mtu achague tu anakujaje😎
 
Shalom Money Dr
Shalom Kanisa
Shalom baby boy

Kwa Yesu raqhaa 😹🌸
Shalom Bwana Asifiwe, Tumsifu Yesu kristo

Nasikia Yesu waniita,
Kwa mlio wa neema yako,
Ntawezaje bado kuziita wako, kufuata mwaliko...

Yesu wataka nikupende, nivumbue wangu moyo

Kujificha ndani nipeende nionje tamu uuh raha yoooh

Yesu wataka nikupende
 
Mtaniwia radhi kwa ukubwa wake kutokana na hii mada.. Natambua wengi wenu mtakereka na maudhui yake na baadhi mtaudhika Sana..! Lakini kupitia mada hii naomba msijichukulie Kama walengwa bali kama wanafunzi wanaohitajika kujifunza kitu kizuri

1. Kutambua dhima ya social media
Tambueni ya kwamba hapo sio mahali pa kujianika na kujifunua maisha yako binafsi kupitia maandishi ama mitazamo yako! Fanya vyote lakini linda sana privacy yako..! Mitandao haifuti kitu

2. Tafuta faraja, tafuta msaada, omba ushauri kwa watu sahihi, uliowasoma vya kutosha na unaoweza kuwaamini.. Kwamba kwa kulinda privacy lakini kwa kukulinda na kukusaidia kwa usahihi

3.Epukeni kuwaamini watu hasa wa jinsia yenu wenyewe ambao hamfahamiani zaidi ya kwenye hizi social media.. Mna tabia za kike za kumwamini mtu kwa haraka na kuanza kuwajadili wengine ama kujadili mambo ambayo hayana afya

4. Itendeeni haki slogan ya Great thinker..! Kuna mengi ya kujadili dunia inaenda kasi sana.. Epukeni majungu na kuwajadili watu muda wote kila mnapo interact.. Kumbukeni small minds discuss people

5. Heshimuni faragha za watu waliowapeni nafasi ya kuwasiliana nanyi.. Sio jambo la busara kuanza kutumiana screenshots za mawasiliano ya wengine.. Kikulacho ki nguoni mwako..! Screenshot moja ikishatumwa ndio imeshaanza safari ndefu ya kufika mbali

6. Moyo wa mtu ni kiza kinene.. Umdhaniaye ni rafiki kumbe ndiye adui yako no moja . akili kichwani mwako

7. Epukeni kukwazika na kuumizwa na vitu vya kipuuzi.. Umeingia mtandaoni mwenyewe utatoka mwenyewe.. Uliokuta na watakaokukuta sio malaika.. Hutapendwa na wote na hutachukiwa na wote..! Ukiumia kwakuwa fulani hakupendi utakuwa hujajitendea haki kabisa

8. Wabeba mafaili ya watu.. Hivi mnakuwa hamna kazi za kufanya au ni ukosefu wa akili hekima na maarifa.. Kujitapa kwamba una mafaili ya watu ni upuuzi mwingine wa kiwango cha lami
9. Epukeni kutengeneza maadui wapya.. Epukeni kuwachagulia watu marafiki ama mamdui.. Anayekupenda nenda naye kwa tahadhari.. Asiyekupenda chapa lapa.. Wewe sio pesa upendwe mpaka na vichaa

10. Bifu nyingi za JF zimesababishwa na wengi kutojitambua, akili finyu maono mafupi na ushamba wa kudhani watu wanaokutana nao social media ndio watu halisi na wa kuaminika sana..

Kuwa GT sio title ni matendo..!
Good night..!
Mkuu Mshana Jr, haya yote uliyowaonya hawa wanawake wa sosho midia ndiyo yanawaweka mujini. Sasa inawezekanaje waache wakati wanasaka folowas wapige pesa?

Wanapojianika sosho midia wanaonekana kwa mapedeshee wanawatafuta na kuwadinya kisha wanawapa chekeli ili waendelee kusavaivu hapa mujini.
 


Nimegundua hayo mavitu yako hayafanyi kazi. Kama mpaka leo hujaangusha kitu fasta 😂 😂 😂 😂

Uganga muachie Tekelo aliyekuwa anawarubuni watu miaka ile ya 80. Eti anatoa wachawi...eto mwanadamu kageuka chatu Buguruni.

Ujinga kitu kibaya sana. Imagine mpaka leo watu wanaogea maji hata ya watu wasiopumua ili kusafisha nyota. Na zimegoma kutakata😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom