Msumari wa moto: Mabinti wengi hamjitambui na vazi la u great thinker haliwatoshi au haliwafai

Yani utatoa ushuhuda wenzako wanatoa milio hukoo🀣

Pole vumilia umalize muda wako ubadili tenaπŸ˜‚

Nilikuwa nakutafuta, vipi tajiri hajarudi tu maana sichezi mbali lakini wapi!πŸ€¦πŸ½β€β™€οΈ
Yaani😁

Tajeer sijui kapoteza simu huko bar,maana sio Kwa huu ukimya.
 
Nakuwa Anonymous tu, nakuwa narusha kawaida kama wmakombora yote 🀣
Na ushahidi wa kila kitu yaani nasagia kunguni lengo ni kuwarekebisha hawa waliochomwa na Msumari huu 🀣
Hahhaa ujipange maana ni kama sio binadamu wagonjwa vileeπŸ€”
Halafu na wewe umo eti 🀣
Hee kwanini?πŸ™†πŸ½β€β™€οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…