Acha visingizio tuma nilioneYaleyale unaomba pic selfika baadae unasema hapa nishapigaπ
Sina plan ya kuwa na mke, niliwahi kuishi na dem mwezi mmoja, it was hellduuh kwahy hata mke uzungumzagi naye
Wew ni mfano bora wa kuigwa katika jamii
Water in the pot
Wapi? LohhhUmejiita mzee, au unarukaruka kama bisi? Narudia tena, big boobsπ¬
Wewe huna hata adabu unasumbua mpaka kizuka! Hebu acha tunaomboleza badoπAcha visingizio tuma nilione
πππAu huyu mhuni wa hall v sumbai ndo anakusumbua! Maana naye hua hapoi.
Unaharibu uhondo mama, hiyo ni siku nyingine tena! Haiwezekani atufanyie vileeπππ
Ndo nani huyu....
Yupo ananijijua ngoja nitulie uzi utamfuata
Nzuri broKumbee!
Za kuadimika lakini?
Mi ndo nlikua juu ya traffic πBinti chumvi, ulipotea sana, au nawe ulikuwa umelazwa chini kama traffic π
Blaza ule mkanda ungefyatuka, traffic angekuwa kaburini as we speak ππMi ndo nlikua juu ya traffic π
Shukrani, nipo huwa nachungulia chungulia sana na kutokaBlaza ule mkanda ungefwatuka, traffic angekuwa kaburini as we speak ππ
BTW karibu tena bro, tulikumiss
π€£π€£π€£Hee kwani makundi yanaundwaje na mimi mniunge huko nipate za ndaniiii...
π€£π€£π€£πMi ndo nlikua juu ya traffic π
π€£π€£π€£Hii mada iko too personal