Msumari wa TEC: Mambo Muhimu Yaliyojiri Kwenye Mkutano wa Hivi Karibuni wa TEC (Agosti 2026)

Wametema ukweli bila kupepesa
Ngoja nimalize kuchangia kwenye mada yako mkuu 'Mshana'; sitachangia zaidi ya hapa.

Unasema "wametema ukweli"?

Samia ukweli anautaka wa nini?

Walitaka kumpa ushauri August 2025 kabla ya uchaguzi Oktoba; akagoma kuonana nao kwa sababu alishaamua ni lazima aendelee kukaa madarakani kwa njia yoyote iwayo. Na kweli Oktoba ilipofika ikawa yaliyokuwa lakini adhma yake ya kuendelea kuwa madarakani ikatimia.

Ninachosema hapa ni kwamba hakuna jambo lolote linaloweza kusemwa sasa au litasemwa baadae litakalomwondoa katika lengo lake hilo la kufika 2030.

Hili la ukweli na takataka nyinginezo hayawezi kamwe kumsumbua akili yake.

Pigeni kelele zooote mnazotaka, ila msiguse 2030. Ni kama yaleyale ya bandari na DPW yaliyomfanya atangaze yeye kuwa "chura kiziwi".
Sasa sijui kama nimeeleweka vizuri..
 
TEC wameishiwa pumzi,walimfuga chatu na sasa amewameza wenyewe!

Walifuga katiba ya Nyerere ya chama kimoja,na kwakua katiba ile ilikua na maslahi Yao kupitia waumini wao kina Nyerere,mkapa!hawakuona umuhimu wa mabadiliko wakidhani mambo yatakua kama yalivyo Hadi ccm walipowazidi nguvu kipindi cha kikwete na sasa hawawezi tena kuwa na meno dhidi ya ccm mtandao ambayo wanatumia katiba ile Ile waliyoilea ipasavyo kwa matakwa Yao wenye ccm mtandao!!

Operation zao zote zimeshindwa Hadi sasa!!wanategemea huruma ya watz plus kujitoa mhanga kwa watz ili kudhibiti Dola waliyoipoteza na sanctions za kimataifa!!

TEC HAINA MENO KWA SASA!!!IMEZIDIWA NA WANAMTANDAO!!

WAOMBE MUNGU TU!HAKUNA NAMNA!
 
Sana
 
Pigeni kelele zooote mnazotaka, ila msiguse 2030. *Ni kama yaleyale ya bandari na DPW yaliyomfanya atangaze yeye kuwa "chura kiziwi".
Sasa sijui kama nimeeleweka vizuri..πŸ€”πŸ₯ΊπŸ™‡πŸΏβ€β™‚
 
Hapana kuna mtihani mkubwa Sana kaachiwa hapo.. Sikiliza soma between the lines
 
Bado wenye akili chache kichwani, watakujibu hapa kuwa KITIMA hampendi sa100. 😊😊😊
 
Acha porojo zako za marufuku ya utumwa
Tuje kwny harakati za kudai uhuru mlikua wa wapi
Na sababu ya vugu vugu la kudai uhuru lilitokana na waislam hilo lipo wazi walikua wakibaguliwa kielimu huwezi soma mtoto wa kiislam bila kubadili dini...
Weeh unataka kuleta porojo gani?
Marufuku ya utumwa ilipigwa baada ya uvumbuzi wa mashine mbl mbl za utendaji kazi
Kwhy unataka kusema utumwa wote na biashara yote ya utumwa ilifanywa na mwarabu si ndio?
Na wala sijakuuliza mwarabu kafanya nini au mzungu
Nimekuuliza kuhusu hawa Kima wenzetu walikua wapi na harakati za kudai uhuru?
Sababu weeh Kima tu kama mie kwa mtu mweupe awe mzungu au mchina au mwarabu weeh Kima tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…