Msumari wa TEC: Mambo Muhimu Yaliyojiri Kwenye Mkutano wa Hivi Karibuni wa TEC (Agosti 2026)

TEC wametumia Hekima na Busara! Maana aliyeshika upanga kwenye mpini huwezi kushindana naye kwa kushika makali.
Rais ndiye mwenye Mamlaka na ndiye ameshika Upanga.
Na Rais kama atatumia busara ya kuheshimu na kutekeleza maoni ya TEC Taifa linaweza kupona!
Wasiwasi wangu lile Joka la Msoga linaweza kumshauri vinginevyo,harafu akaendelea kufanya shingo ngumu.
Ingawa kwa akili yangu ndogo alichosema VP kuhusu Katiba harafu akaanza kumtembelea mzee Sinde,JK na sasa kwa mstaafu mmoja wa SMZ,sijui kama atawazungukia na Wazee wengine,ni kama kuna jambo linaenda kuleta matumaini.
 
TEC HAINA MENO KWA SASA!!!IMEZIDIWA NA WANAMTANDAO!!

WAOMBE MUNGU TU!HAKUNA NAMNA!
Hivi akina "MTANDAO" ni akina nani hasa! BAKWATA?

Usikimbilie tu kujibu kwa pupa. Tumia akili tulivu kama uliyotumia kwenye andiko lako nilikotoa hayo maneno niliyonyanyua hapo juu.
 
Nimekuuliza kuhusu hawa Kima wenzetu walikua wapi na harakati za kudai uhuru?
hao hawawezi kuwa "kima wenzenu"; maana umekwishajibainisha mwenyewe kuwa wa hadhi tofauti na yao; sasa watakuwaje tena "wenzenu"?

Naona umejazwa elimu ya chuo cha Kariakoo kichwani mwako; kwa hiyo najuwa kitakachofuata baada ya hapa.
 
Ila nyie kubaz ni ma last born..ni kulalamika tu ...kila mlichoanzisha hamkufanikiwa kufika mwsho...hadi mkpa anaamua kuwapa chuo basi japo mkiendeleze ..bado ni kulalamika tu na chuo ni kama hakipo ....hii dunia haiitaji excuses zenu za kipumbafu..tofaut na hapo mtashinda ndan na kweny vibaraza kwa kunywa ghahawa tu na kucheza bao
 
Safi sana ,hivi sisi tunaotaka wao waombe msamaha nk hamna sehemu tumekosea na sisi?
 
Msijisahaulishe hapa.
Mlituaminisha kuwa Samia ndiye aliyeomba kukutana na TEC. Leo Padri Kitima anasema wao TEC ndo waliomba kuonana na Rais.
Kwa hiyo unamuamini nani. Au ndo akili yako inafuata upepo??. Jitahidi kufikiria nje ya box.
 
Ukitaka tuje kwny mada hizi nipo vzr
Sina shoo mbovu kabisaa
Fala weeh.. Mkiambiwa ukweli mlikua vibaraka wa ukoloni mnabisha..
 
hao hawawezi kuwa "kima wenzenu"; maana umekwishajibainisha mwenyewe kuwa wa hadhi tofauti na yao; sasa watakuwaje tena "wenzenu"?

Naona umejazwa elimu ya chuo cha Kariakoo kichwani mwako; kwa hiyo najuwa kitakachofuata baada ya hapa.
Asa unataka kubusha nini kama weeh upo bara jeusi si Kima tuu
Kwa mzungu au mhindi mwarabu mchina weeh kima tuu..
Kinachofuata weeh fala tuu
 
Huo ubize wa wa madrasa gani weeh Kima
Nyerere kakuta chama cha siasa kimeanzishwa cha TAA
 
Nyie mliokuwa mnapigwa miti na waarabu mna nini cha kutuambia?
Asa utakua una tofauti unavyopigwa miti sahv na sera yenu ya LGBT
Katoe kiboksi manyoya hicho tiketi za Schengen zipo wewe tuu
 
Kwa hiyo unamuamini nani. Au ndo akili yako inafuata upepo??. Jitahidi kufikiria nje ya box.
We nakuamini. Ulisema Samia kawaomba TEC waonane. Simwamini Padri Kitima anayesema wao ndo walimwandikia Rais
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…