Msumbiji: Zaidi ya Wafungwa elfu 6 watoroka gerezani na silaha.

Msumbiji: Zaidi ya Wafungwa elfu 6 watoroka gerezani na silaha.

Daby

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2014
Posts
33,894
Reaction score
76,810
Waandamanaji wamefanikiwa kuwafungulia wafungwa zaidi ya 6 000 na wametoroka na bunduki.

Maandamano yalianza Jana baada ya mahakama kutangaza ushindi wa Chama tawala.

Source: SABC
 
Walijua hii ni ile CCM ya Mkapa na Kikwete. Wamepewa mbinu za kishamba kabisa za ushindi wa asilimia 99 na kukosea kujaza fomu kwa wingi.
Nasikia frelimo wamepigiwa kura nyingi kuzidi mpaka idadi ya watu wote waliojiandikisha kupiga kura

Mfano watu waliojiandikisha kupiga kura ni elf 40 alafu wao wameshinda kwa kura elf 70
 
Back
Top Bottom