zous
JF-Expert Member
- Sep 25, 2017
- 3,152
- 5,854
Adui nani wakati ni wenyewe kwa wenyewe ,hayo mazara ya kuachiwa wafungwa 6000 ni makubwa mnooo ,maana wengi wa wafungwa bado Wana visasi kwa waliowafanya waingie jelaKuna wakati ni bora maadui kuungana kumpiga adui yenu wote