Msumbiji: Zaidi ya Wafungwa elfu 6 watoroka gerezani na silaha.

Msumbiji: Zaidi ya Wafungwa elfu 6 watoroka gerezani na silaha.

Wamewafungilia Kisha watakuja kuwaibia wao wenyewe , elf 6 wanazani ni watu 6? Wasubili majibu watakapo anza kubakwa kama kuku
Moja kati ya comment ya kipuuzi sana hi wallah. Kuna wezi wengi mno wapo ofisini wanaliibia taifa lakini sio tu hawajafungwa lakini bado wanaendelea kulipwa na kutunzwa na kodi za wananachi, wanapewa magari, makazi na huduma bora kabisa za afya, wanafirisi taifa na wapo. Bora kipi? Kufungulia hao walioiba ili wapate chakula cha siku moja au hao wanao iba hadi wasivo vihitaji?
 
Ccm ni chama kizuri ila viongozi wa juu ndio wamekitia doa inapelekea hadi kuweka chuki kubwa miongoni mwa wanachama na wananchi kwa ujumla ila kikifanyiwa overhaul kinaweza kuwa bora
 
Kwahiyo wewe akili zako zimeishia kwenda kuvunja gereza la ukonga au segerea ndiyo maana sisiem inatawala miaka yote kwasababu ya wajinga kama wewe!
 
Wewe nawe kwahiyo hao elf sita wamesingiziwa Kwa makosa gani
Jera hawaendi hao tu uliowataja wewe yaani wezi na wabakaji that means the average of crimes in the street haitakuwa hivyo kama ulivyosema kwenye comment yako ya kwanza. You should think before proceeding your thoughts in here.
 
Kwahiyo ulitaka nianze kutiririka makosa ambayo anaweza mpeleka mtu jela?
Hivi wewe ulimsingizia mtu kosa lolote halafu atoke Kwa mfumo huo tena na bunduki unategemea atamuanza nani kama sio Kwa adui yake? Na ndiyo maana kuna watu huwekwa ndani Kwa ajili ya usalama wao wenyewe.
 
Unaamini wafungwa wote 6000 wageuke kuwa wezi Tena? Kwenye hao 6000 hata 100 hawatafika kuwa wezi Tena!
Hao wafungwa wametolewa kwa mission maalum na raia wenzao wao serikali iliowafunga wanaichukulia kama adui yao hivyo hamna mwenye idea ya kumdhuru raia mwenzie zaidi ya kupambana na serikali. Kumbuka kuna waliosingiziwa makosa waliobambikiwa kesi pamoja na watukutu ambao hawana cha kupoteza. Hio resistance ni ngumu sana ndio maana jeshi la magereza limezidiwa.
 
Ccm ni chama kizuri ila viongozi wa juu ndio wamekitia doa inapelekea hadi kuweka chuki kubwa miongoni mwa wanachama na wananchi kwa ujumla ila kikifanyiwa overhaul kinaweza kuwa bora
Overhaul gani utakayoifanya CCM ili iwe na tija? Kama ni engine basi jua imefikia mwisho inatakiwa ivuliwe iwekwe nyengine tu😁 overhaul ni kupoteza muda tu.

Utaweka kila kifaa kipya kuanzia piston valves, main na cones ila ufanisi hautopatikana. Vyote vinapwaya.
 
Back
Top Bottom