Hilo ni tawi la CCM na mbinu zao wanachukua huko.Nasikia frelimo wamepigiwa kura nyingi kuzidi mpaka idadi ya watu wote waliojiandikisha kupiga kura
Mfano watu waliojiandikisha kupiga kura ni elf 40 alafu wao wameshinda kwa kura elf 70
FRELIMO iliundwa Dar es Saalam na matawi yake ya kambi za wapigania uhuru wa msituni walijifichia na kufanyia mafunzo Morogoro.
FRELIMO wanayofanya ni mbinu zile zile za chama cha majizi.