Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwafungulia wafungwa msiojua wamefunga Kwa ajili gani? Waafrika sisi? Sijui hao maadui kuungana, unazani hao elf 6 wanawaza pamoja ? MmmKuna wakati ni bora maadui kuungana kumpiga adui yenu wote
Matokeo ya awali ya Tume ya Uchaguzi na haya ya mahakama yote yanapishana.Source SABC: Waandamanaji wamefanikiwa kuwafungulia zaidi ya wafungwa zaidi ya 6 000 na wametoroka na bunduki.
Maandamano yalianza Jana baada ya mahakama kutangaza ushindi wa Chama tawala.
Daa jamani kuwaona wapiga kura mbululaNasikia frelimo wamepigiwa kura nyingi kuzidi mpaka idadi ya watu wote waliojiandikisha kupiga kura
Mfano watu waliojiandikisha kupiga kura ni elf 40 alafu wao wameshinda kwa kura elf 70
Noma sanaDaa jamani kuwaona wapiga kura mbulula
Ngoja wachangamshe akili kwanza wakitulia ndiyo watajua njia sahihi yakupita, hakuna namna!Noma sana
Khaki hupiganiwa wala haiombwiNgoja wachangamshe akili kwanza wakitulia ndiyo watajua njia sahihi yakupita, hakuna namna!
Bunduki wametoa wapi?.Source SABC: Waandamanaji wamefanikiwa kuwafungulia zaidi ya wafungwa zaidi ya 6 000 na wametoroka na bunduki.
Maandamano yalianza Jana baada ya mahakama kutangaza ushindi wa Chama tawala.
Kwa sample tu hawa chini ni picha ya watu elfu 1.6000 Ni Wengi.
Ghala la silaha la Magereza.Bunduki wametoa wapi?.
Unakuta mtu alikula mvua za maisha.Mpaka apo kazi ipo maana mfungwa hana cha kupoteza
Na hii aisome Mbowe.Na ubaya wafungwa huwa siku zote hawaipendi serikali iliyoko madarakani. Kazi ipo.
Nashindwa kuelewa inakuwaje unang'ang'ania madaraka hata muda ambao unaona watu hawakutaki.. Yaani mtu huoni dalili au?
Hujui kuwa magereza ni jeshi na lina silaha?Bunduki wametoa wapi?.
.SIsi tu ndo tumelala...
Hakuna mbadala wa CCMSIsi tu ndo tumelala...