Msumbiji: Zaidi ya Wafungwa elfu 6 watoroka gerezani na silaha.

Kuna wakati ni bora maadui kuungana kumpiga adui yenu wote
Adui nani wakati ni wenyewe kwa wenyewe ,hayo mazara ya kuachiwa wafungwa 6000 ni makubwa mnooo ,maana wengi wa wafungwa bado Wana visasi kwa waliowafanya waingie jela
 
Pata picha mtu ulietoa ushahidi kua ni jambazi na kibaka unaskia katoroka alaf kipindi nchi haina amani
 
Vyama vyote vilivyopigania uhuru vimeshachokwa na ukiangali vyama vyote vilivyopigani uhuru kujiona vina hati miliki ya nchi Tanzania ni vile hakuna chama serious CCM nayo ingekua imeshaondoka vyama vilivyopo ni Agent wa CCM
 
Ukweli thabiti ndo huu hata kama kungekuwa na majambazi Kwa kipindi hiki hawezi dili na kuiba Tena Bali kushughulikia na serikali ya kihuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…