Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
Tatizo linaanzia hata kwa Serikali yenyewe inakubali kusaidiwa misaada mingine ya kipuuzi kabisa. Matokeo yake hata jamii inaona ni sawa tu kupokea kila aina ya msaada. Imagine Serikali inakubali kusaidiwa matundu ya vyoo, kupewa vishikwambi, nk nk. Airport unakutana na security check mashine ati China Aid 🤔. Kwahiyo kabla ya kujadili kama ina nini au nini, je Serikali haina muongozo aina ya misaada ambayo inaweza kupokea?Hili nalo linafikirisha sana hivi wamefanya utafiti wakagundua hawana dawa majumbani mwao?
Umesikia au umeona kama zimeongezwa hiyo amount of Fluoride, tupe research yako chief. Nionyeshe nahao watoto walioharibika hayo meno kwanza maana kabla ya kufisha hormone na kuifanya imbalanced basi meno yatakuwa yameshaharibika vibaya sana. Basi tupe hicho kijiji na watu waliopata hayo matatizo. Pia nipe na box la colgate likionyesha hiyo amount of Fluoride iliyoongezwa.Mkuu Wewe unazungumzia kuanzia utotoni, sijakukatalia lkn toka utotoni nilikua natumia recommended level ya fluoride. Hizo dawa unaambiwa zina excess fluoride ndo maana impact yake inatajwa upande wa fertility. Fanya research yako ujue uhalisia uliojificha
Nawashangaa sana wabongo, hako ka dawa kamoja ndio kaharibu hormones. Hormones zinaharibiwa na vitu vingi ikiwemo ulaji mbovu, stress etc. Hawa mashoga waliozagaa walipewa hizo dawa?Ndiyo maana nikakwambia, wewe siunataka kiwango😂😂😂, ni frequency x per amount ndio ujue quantity ujue uliyotumia tangu utotoni mpaka leo. Fluoride inaside effect ila ya kwanza ungeona meno yako yatakavyoleta changamoto nakuwa kama glass mwishowe kubanjuka kama utani. Pia jua karibia aina zote za dawa ya meno zina fluoride isipokuwa zipo kama za aina mbili ndio inatumia aina nyingine ya chemical ila effect ni similar na fluoride. Hivyo jua tangu utotoni umukunywa maji na kutumia dawa ya meno iliyo na Fluoride. Piga hizo hesabu sasa. Achaga hysteria bro! 😂😂😂 itakupa mental disorder.
Boss, pia jua kuishiwa nguvu za kiume hakumfanyi mtu awe shoga yaani hata siku hii moja laasivyo wazee wengi wangekuwa mashoga. Hiyo ni tabia na ugumu wa maisha na mtu kushindwa kuyakabili matatizo ndiyo mtu huanza kujiingiza uko. Pia ni hulka, ndio maana mnaambiwa muwalee watoto wenu vizuri ili jamii isitawi achana na sijui nini wala nini. Halafu pinguzeni hizo mada zinakera, maana hayo matendo ni machukizo na haramu na unazidi kuyatangaza kwa kuyataja, mtoto mdogo au teenagers wakiingia humu wao watataka kuyajaribu waone. Hivyo ulishajua, tokomeza kwa vitendo sio kwakutangaza maana unapromote bila wewe kujua.Mkuu Wewe unazungumzia kuanzia utotoni, sijakukatalia lkn toka utotoni nilikua natumia recommended level ya fluoride. Hizo dawa unaambiwa zina excess fluoride ndo maana impact yake inatajwa upande wa fertility. Fanya research yako ujue uhalisia uliojificha
hivyo vitu havijaanza leo kutolewa kipindi tupo shule ya msingi miaka 1998 tulipewa sana hivyo vitu whitedent pamoja na blueband na mikate juice cola,dawa za kichocho nk.Haya mambo nimeyasikia kuna shule mkoani Ruvuma wanafunzi wanagawiwa hizo dawa za meno na miswaki zikidaiwa kuchochea vitendo vya ushoga,hii vita ni kubwa sijui kama serikali itaiweza
Shule zipiii??? Hebu zitajeee
Watanzania.
Mnawaza kudhuriwa dhuriwa tu.
Fundisha mwanao kutopokea dawa za minyoo,vitamins ama chochote shuleni zaidi ya Elimu na chakula.
Ngoja mwanao atumie alaf akija kukosa nguv za kiume uanze kwenda maombi
Tumetumia hayo madawa miaka zaidi ya 30Ndio mkuu, effects za fluoride mojawapo ni hio. Watoto wanaezakosa uwezo wa kuzalisha au kureduce fertility levels
Hii nchi inafeli mambo kibaoTatizo linaanzia hata kwa Serikali yenyewe inakubali kusaidiwa misaada mingine ya kipuuzi kabisa. Matokeo yake hata jamii inaona ni sawa tu kupokea kila aina ya msaada. Imagine Serikali inakubali kusaidiwa matundu ya vyoo, kupewa vishikwambi, nk nk. Airport unakutana na security check mashine ati China Aid 🤔. Kwahiyo kabla ya kujadili kama ina nini au nini, je Serikali haina muongozo aina ya misaada ambayo inaweza kupokea?