RWANDA tayari wameshaanza huu mwaka wa 5 ni mwendo wa English mwanzo mwisho ambao bado wanasuasua ni Burundi... ni mwehu tu mwenye ujasiri wa kuachana na Kiingereza akatumia Kiswahili kwenye elimu kwa dunia ya leo! Rwanda na Mozambique walikuwa wanafikiria kutumia English kwenye mitaala yao; sina hakika walishafikia hatua gani ya transition.
Wewe umeshindwa kujibu, ngoja nikusaidie tatizo ni lugha inayotumika hawaijui. Hivyo inawapelekea kutokuelewa kinachofundishwa, na kutokana na kwamba muda unakua ni mfupi inabidi wakariri kitu kama kilivyo ili waokoe muda.Majibu ya swali hilo naomba yajibiwe na wizara ya elimu.
Tatizo sii kitumia kiingereza au kiswahili. Tatizo ni kuchanganya lugha mbili kwenye elimu, huku msingi wa elimu ukiwa umewekwa kwa kiswahili alafu kwenye paa ni kiingereza. Hapo huwezi kuzalisha mtaalam.RWANDA tayari wameshaanza huu mwaka wa 5 ni mwendo wa English mwanzo mwisho ambao bado wanasuasua ni Burundi
Wanafunzi wa primary wanakua hawajui lugha yao ya kiswahili ndio inabidi walimu wawakaririshe mitihani iliyopita?Wewe umeshindwa kujibu, ngoja nikusaidie tatizo ni lugha inayotumika hawaijui. Hivyo inawapelekea kutokuelewa kinachofundishwa, na kutokana na kwamba muda unakua ni mfupi inabidi wakariri kitu kama kilivyo ili waokoe muda.
Umeanzia shule Gani gambosh au?Mbona hata Tanzania mfumo umebadilika mda tuu, tatizo ni utekelezaji asilimia mia ndo bado. Changamoto nyingine n kukosa miundo mbinu wezeshi, lakin mfumo wa CBC umeanza tumika tangu mwaka jana hukoo.
Primary waulize walimu wa primary.... Changamoto ni utekelezaji kwani hata wao bado wanaulalamikiaUmeanzia shule Gani gambosh au?
Mkuu unaweza tuwekea gharama zao kuanzia msingi mpaka sekondari.Aiseeh namshukuru Mungu wanangu walishazoe huko na ongea yao ya ajabu ila kiukweli wapo smart sana kichwani lakini zaidi ubahili naona wanajifunza mno
Tofautisha competence based na kingereza. Umahiri na kingereza ni vitu viwili tofauti. Umahiri unaweza tolewa hata kwa kisukuma.... ni mwehu tu mwenye ujasiri wa kuachana na Kiingereza akatumia Kiswahili kwenye elimu kwa dunia ya leo! Rwanda na Mozambique walikuwa wanafikiria kutumia English kwenye mitaala yao; sina hakika walishafikia hatua gani ya transition.
Mkuu upo serious? Mi nipo Njombe , hiku nmejielekeza kwenye kilimo cha palachichi. Nilichojifunza ukitoa wazungu na wachina wanaofuatia ku export parachichi ni wakenya, wao walianza hii industry toka 70's Unataka wakuzidi kwenye nini ?Hapo umeambiwa ukweli mtupu ili kwa sababu umekamatika na uwongo wao huwezi kuamini.
Huwa mnadanganyika sana na hao wakenya.
Hakuna walichoizidi Tanzania zaidi ya janjajanja za kijinga.
Vitabi vyenyewe vimejaa makosa mbatianaliyaonyeshaa. Yani sisi tunaishi ishi tuKenya wameisha anza mfumo wao mpya wa elimu wa CBC yaani Competency Based Curriculum, huu mfumo unachukua nafasi ya mfumo ulio kuwepo ambao ni sawa tu na wetu kwa sasa, mfumo wa Mwalimu kuingia na chaki na kuanza kuandika na watoto kuandika au kukariri.
Huu mfumo wao mpya unafuta pia mitihani ya Taifa, hivyo kwa walio anza na huu mfumo hawatakuwa na kitu kinaitwa mitihani ya Taifa bali watapimwa mashuleni mwao.
Huu mfumo pamoja na kwamba ni ghari sana lakini ni mfumo mzuri kabisa wa wakati huu, huu mfumo watoto wana fanya Practical zaidi, group work na Group Discusion kuliko kaukaririshwa vitu na Kwa wale wenye watoto wanao soma zile shule za mbele za International School, wanatumia sana huu mifumo pia.
Tanzania bado tunawakaririsha wanafunzi, kuna she moja nilishangaa kukuta Wanafunzi wa Darasa la saba tangu janauary hadi wanahitimu walikuwa wana solve tu past paper, yaank ni mwendo wa past paper mwanzo mwisho, tujiulize mwanafunzi anapata nini kwenye hizo past paper zaidi ya kukariri?
Pia hii mifumo ya mitihani ya Taifa isha pitwa na wakati, na hii ndo inafanya shule zijikite kukaririsha watoto past paper, watoto wanafundishwa kujibu paper na sio kuelewa mambo.
Tuna lag behind.
India wanatumia kihindi na kingereza ila hawana hayo malalamko.Tatizo sii kitumia kiingereza au kiswahili. Tatizo ni kuchanganya lugha mbili kwenye elimu, huku msingi wa elimu ukiwa umewekwa kwa kiswahili alafu kwenye paa ni kiingereza. Hapo huwezi kuzalisha mtaalam.
Elimu ni zaidi ya shule. Uwezo wa mtu unaanzia kwenye malezi.Mungu nijalie nipate mafezwa mwanangu asome international school huu ujinga wa kukariri na kupata tu A ka kigezo Cha akili Mimi kwangu naona Kuna uwalakini
Kitu pekee kinachowabeba wakenya ni Kiingereza na "survival of the fittest".Vitabi vyenyewe vimejaa makosa mbatianaliyaonyeshaa. Yani sisi tunaishi ishi tu
Inabidi tupambane watu wanasoma lakini elimu haisaidii kwasababu ni mbovuKitu pekee kinachowabeba wakenya ni Kiingereza na "survival of the fittest".
Kenya hakuna FREE LUNCH. Ni kupambana ili ULE. Kenya unazaliwa hnakuta nyumbani hakuna hata kipande cha ardhi.
Tanzania hakuna ugumu huo.
Na ndio maana watu wanalalamika Bongo maisha magumu ila hawahami kama ilivyo Kenya na Nigeria.
Ubovu wa Elimu ni kitu relative.Inabidi tupambane watu wanasoma lakini elimu haisaidii kwasababu ni mbovu
Yah lakini atleast unaona elimu ya Marekani ilivyofanya kwa taifa hadi watu wa mataifa mengine walikuwa wanatuma watoto wakapate hiyo elimu warudi nyumbani kukuza uchumi.Ubovu wa Elimu ni kitu relative.
Hata Elimu ya Marekani inalaumiwa. Hadi kina Elon Musk wameanzisha shule za watoto wao nyumbani.
Muhimu ni kujua kuwa vyeti siyo mwisho wa elimu .
Hao maprofesa wengine wamesoma huko huko kwenye elimu bora.Yah lakini atleast unaona elimu ya Marekani ilivyofanya kwa taifa hadi watu wa mataifa mengine walikuwa wanatuma watoto wakapate hiyo elimu warudi nyumbani kukuza uchumi.
Sisi mtu ni profesa halafu hata lugha aliyotumia kupata huo uprofesa inamletea shida