spea mkononi
JF-Expert Member
- Oct 5, 2015
- 345
- 324
Dr. Sajjad Fazel plz mbona mie hujanjb
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dawa ya amiba tafathali
Unapatikana wapi dr?
Dr nimekucheki Pm haujanijibu mkuu
nina tatizo la kubabuka uso, alaf una mabaka naeza paka mafuta hata mara kumi kwa cku shida n nn msaada plz yan uso kla mara kupauka @Dr Sajjad Fazel
poaMkuu, samahani nilifikiri nishakujibu. Labada nilisahao kutuma lakini nilikuwa nishaandika jibu.
Ningekushauri upakae dawa hii kwa muda wa wiki moja; Sonaderm cream kila siku usiku unapolala.
Alafu, nipemajibu unaendeleaje.
Asante
Dr. Tatizo langu ni haemorroids/bawasili nitumie dawa gani niweze kuziondoa?
Thkx dr. Nitakupa mrejeshoUnaweza kupakaa tube ya Anusol maeneo hayo yanayokusumbuwa kutwa mara mbili. Pia kula matunda na mboga mengi. Kunywa maji ya lita 3 au 4 kila siku. Fanya hivyo, alafu niambie unavyoendelea.
Asante.
dk mimi nasumbuliwa na chunusi zinauma nimevimba sura hata sijipendi nimejaribu dawa nyingi nimeshindwa ushauri please
imeshawahi ijaribu tumia nahaikunipa matokeo yoyote ila naanza tena ili nikupe mrejesho.Ningekushauri utumie Sonaderm Cream kila siku mara mbili kwa wiki moja alafu uniambie unavyoendelea.