Mtaani kuna Black-Mail system wanaume kuweni makini sana.

Juzi kati kuna jamaa alimpeleka demu ghetto kwake so wakafanya yao kufika asubuhi jamaa anamwambia demu unaondoka saa ngapi? demu anamwambia niondoke niende wapi?

jamaa ndio ikawa kaoa hivyo bila ridhaa yake[emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi huyo malaika ana fananaje?
 
Kuna mfumo mzazi anamtuma mtoto wake aje kwako umnunulie pipi na ukishamnunulia anakuja kukuambia kuwa unamuwinda mtoto wake.

So kilichopo ndo hicho
Unaweza kuta mtoto kaharibiwa marinda na watu wengine ikiwezekana na baba yake alafu unakuja kushtakiwa uliymnunulia mtoto pipi kwamba umelawiti.
 
Hii ndio wanaiita kukabia juu.kazi kweli kweli.zama za kina mama kua magolikipa zimeisha
Wameamua kuwa washambuliaji, maana mipira haifiki golini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…