ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Nimeyasikia na Serikali haijakataa kuyatatua.Madai umeyasikia au unaongea kama yuke muhehe anayevaa mashati ya kung'aa kama wakongoman
Na yote hayo yamesababiahwa na ukwepaji mkubwa wa Kodi wa wafanyabiashara.
Wewe hapo umewahi pewa hata risiti ya efd kwenye mgahawa uliosajiliwa.kulipa VAT? Je hiyo ni hela ya mfanyabiashara au ni Kodi niliyolipa Mimi consumer? Huoni unafanya wizi?
Wajibu kwanza Haki ndio inafuata