Mtaji nitafute mimi, biashara nianzishe mimi, wewe uamke uje kunitishia , eti ni serikali, dunia ni kubwa sio lazima kukaa kariakoo

Madai umeyasikia au unaongea kama yuke muhehe anayevaa mashati ya kung'aa kama wakongoman
Nimeyasikia na Serikali haijakataa kuyatatua.

Na yote hayo yamesababiahwa na ukwepaji mkubwa wa Kodi wa wafanyabiashara.

Wewe hapo umewahi pewa hata risiti ya efd kwenye mgahawa uliosajiliwa.kulipa VAT? Je hiyo ni hela ya mfanyabiashara au ni Kodi niliyolipa Mimi consumer? Huoni unafanya wizi?

Wajibu kwanza Haki ndio inafuata
 
Kwani nani kakataa kulipa ushuru
Kuna gumashi kadhaa zinafanyika, shehena zinaingizwa kwa njia ya chocho, bila kulipa ushuru, wakiambia watoe docs za malipo zinaanza kelele!, nunua bidhaa yoyote kariakoo dai risiti, zitaanza sound, wakupe risiti isiyolingana na bei au wakuzingue EFD mashine mbovu.....
 
Wewe kachoka umejulia wapi biashara
 
Risiti wanakamatwa Tanzania tuu ni kama wauza Bangi wa Ngarenaroo kwa bidhaa walizozifata wao China hao wasaka kodi ni wahuni fulani..
Hapa kuna mandezi yanajifanya kujua biashara mtu nilianza busy na mtumba wa viatu natoa karume na sido kwenda Kwa madiba, nabeba maharage ya mbalizi napeleka angola madogo hawajazaliwa, leo wanipige biti mimi wasenge hao,
 
Nimeyasikia na Serikali haijakataa kuyatatua.

Na yote hayo yamesababiahwa na ukwepaji mkubwa wa Kodi wa wafanyabiashara.

Wewe hapo umewahi pewa hata risiti ya efd kwenye mgahawa uliosajiliwa.kulipa VAT? Je hiyo ni hela ya mfanyabiashara au ni Kodi niliyolipa Mimi consumer? Huoni unafanya wizi?

Wajibu kwanza Haki ndio inafuata
I miss Mr. Jiwe. Upuuzi huu wa migomo tusinge ushuhudia.
 
Back
Top Bottom