Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe ni mlafi na ushahuli wako umekalia kulakula tu!
 
I hope uliuelewa vizuri, wekeza maisha ni mfuko mzuri sana kwa malengo ya mda mrefu
Kweli tupu. Kwa malengo ya muda mfupi, weka pesa yako kwenye MFUKO WA BOND, ni kama hisa. Binafsi nime waona na kuukubali huo mfuko kwani ukiweka ka 10milioni kako, unapata faida ya 1.2% au hata 1.3% kwa mwezi. Hizi ni za kula tu, ni kama 120,000/ hado 130,000/ kwa mwezi na mzigo wako uko pale pale na unaweza kuutoa ANY TIME!
 
Well said mkuu CHIEF MASALAKULANGWA
 
Kaka nina swal hapaaa
Kwa mfano ukaweka kweny umoja fund 100k means utapata 1% ya profit kwa mwez

Then mwez unaofata ukaweka tena 100k na ile ya nyuma ikawa 200k. So utapata 1% ya lak 2 ??
Au utaendelea pata 1% ya ile lak1 ya awali????
 
Kwa uelewa wangu kutokana na maelezo na elimu watooayo hapo UTT AMISS, mimi nimeweka 10M/= na nitakuwa na pata kila mwezi 1.23% ya hiyo pesa kwenye Akaunti yangu, ni kama vile KA- PENSION ka namna fulani hivi! Sasa wewe ukiweka 100m/= utapata 1.23% ya hiyo pesa kama 1,230,000/= kwa mwezi au ukitaka unaweza kuipata kwa miezi sita; yaani kuna option mbili - ya mwezi mmoja au miezi sita tu. Karibu.
 
Ooooh Joseph Ally, pole wewe unazungumzia 100,000/=?! Oooo pole sana huo mfuko unaanza na kuweka 5M/= na kuendelea, ILA kuna mifuko mingine hapo hapo UTT AMISS unaweza kuweka kiasi hicho! Loo mie nilidhani unazungumzia 100M/= kumbe ni 100k/=!
 
Ahaa nmekupata Vzr nduguu
Naona liquid itanifaaa
 
" ... na akamue mafuta mwenyewe" ... ! Swali hiyo au hizo mashine za kukamua hiyo alizeti anayo au anaipata wapi au anakamulia nini!?
 
Aisee kumbe utajiri nje nje...nitafutie watu kumi nimwage boda mtaani baada ya mwaka nina coaster
 
Aisee kumbe utajiri nje nje...nitafutie watu kumi nimwage boda mtaani baada ya mwaka nina coaster
Wazo zuri sana, inahitaji mtaji tu WA Boda sababu sasahv ni 2.3M Fekon, Sunroy etc ukiacha Boxer.

Boda za mkataba ni business nzuri ila inahitaji ufatiliaji na kutatua changamoto za madereva wako na kuwasisitizia kuhusu marejesho.
 
Kimbembe kuwapata hao vijana waaminifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…