Tiririka humuNjoo nikupe mpangokazi wa kufungua kiwanda lazima utajirike
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tiririka humuNjoo nikupe mpangokazi wa kufungua kiwanda lazima utajirike
Mkuu,
Tengeneza banda kisha fuga kuku wa kisasa! Wakiishakuwa anza kuuza kuku wa kubanikwa Ilala kwa elfu tano tano! ni watamu balaa [emoji39][emoji39][emoji39]
Usisahau kuweka na tu ndizi uchwala tule twa mia mia na limau! Ukiuza kuku wako sita, tayari una 30K!
Ukifanikisha unishtue, nitakuwa mteja wako mkubwa tu!
OKAsante kwa kunielewa
Kweli tupu. Kwa malengo ya muda mfupi, weka pesa yako kwenye MFUKO WA BOND, ni kama hisa. Binafsi nime waona na kuukubali huo mfuko kwani ukiweka ka 10milioni kako, unapata faida ya 1.2% au hata 1.3% kwa mwezi. Hizi ni za kula tu, ni kama 120,000/ hado 130,000/ kwa mwezi na mzigo wako uko pale pale na unaweza kuutoa ANY TIME!I hope uliuelewa vizuri, wekeza maisha ni mfuko mzuri sana kwa malengo ya mda mrefu
Hapo kwenye MAKAYO, isomeke MAKATO jamani!Shukran sana mkuu kwa maelezo mazuri
Well said mkuu CHIEF MASALAKULANGWAKweli tupu. Kwa malengo ya muda mfupi, weka pesa yako kwenye MFUKO WA BOND, ni kama hisa. Binafsi nime waona na kuukubali huo mfuko kwani ukiweka ka 10milioni kako, unapata faida ya 1.2% au hata 1.3% kwa mwezi. Hizi ni za kula tu, ni kama 120,000/ hado 130,000/ kwa mwezi na mzigo wako uko pale pale na unaweza kuutoa ANY TIME!
Umesomeka vizur mkuu, shukran sanaHapo kwenye MAKAYO, isomeke MAKATO jamani!
Kweli tupu. Kwa malengo ya muda mfupi, weka pesa yako kwenye MFUKO WA BOND, ni kama hisa. Binafsi nime waona na kuukubali huo mfuko kwani ukiweka ka 10milioni kako, unapata faida ya 1.2% au hata 1.3% kwa mwezi. Hizi ni za kula tu, ni kama 120,000/ hado 130,000/ kwa mwezi na mzigo wako uko pale pale na unaweza kuutoa ANY TIME!
Naomba weka link wa huu uzi mkuuMkuu check Uzi unaoongelea utt by Vladimir Lenin naamini hutajuta.
Kwa uelewa wangu kutokana na maelezo na elimu watooayo hapo UTT AMISS, mimi nimeweka 10M/= na nitakuwa na pata kila mwezi 1.23% ya hiyo pesa kwenye Akaunti yangu, ni kama vile KA- PENSION ka namna fulani hivi! Sasa wewe ukiweka 100m/= utapata 1.23% ya hiyo pesa kama 1,230,000/= kwa mwezi au ukitaka unaweza kuipata kwa miezi sita; yaani kuna option mbili - ya mwezi mmoja au miezi sita tu. Karibu.Kaka nina swal hapaaa
Kwa mfano ukaweka kweny umoja fund 100k means utapata 1% ya profit kwa mwez
Then mwez unaofata ukaweka tena 100k na ile ya nyuma ikawa 200k. So utapata 1% ya lak 2 ??
Au utaendelea pata 1% ya ile lak1 ya awali????
Ooooh Joseph Ally, pole wewe unazungumzia 100,000/=?! Oooo pole sana huo mfuko unaanza na kuweka 5M/= na kuendelea, ILA kuna mifuko mingine hapo hapo UTT AMISS unaweza kuweka kiasi hicho! Loo mie nilidhani unazungumzia 100M/= kumbe ni 100k/=!Kwa uelewa wangu kutokana na maelezo na elimu watooayo hapo UTT AMISS, mimi nimeweka 10M/= na nitakuwa na pata kila mwezi 1.23% ya hiyo pesa kwenye Akaunti yangu, ni kama vile KA- PENSION ka namna fulani hivi! Sasa wewe ukiweka 100m/= utapata 1.23% ya hiyo pesa kama 1,230,000/= kwa mwezi au ukitaka unaweza kuipata kwa miezi sita; yaani kuna option mbili - ya mwezi mmoja au miezi sita tu. Karibu.
Ooooh Joseph Ally, pole wewe unazungumzia 100,000/=?! Oooo pole sana huo mfuko unaanza na kuweka 5M/= na kuendelea, ILA kuna mifuko mingine hapo hapo UTT AMISS unaweza kuweka kiasi hicho! Loo mie nilidhani unazungumzia 100M/= kumbe ni 100k/=!
" ... na akamue mafuta mwenyewe" ... ! Swali hiyo au hizo mashine za kukamua hiyo alizeti anayo au anaipata wapi au anakamulia nini!?Kaka!Kama hupo miji mikubwa,fanya biashara ya mafuta ya Alizeti.Ingia Singida na hasa wilaya ya Shelui nunua alizeti na ukamue mafuta mwenyewe kisha safirisha mjini.Mashudu yake pia beba nayo ni mali.Kifupi huu mchongo utakutoa mapema sana ndugu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee kumbe utajiri nje nje...nitafutie watu kumi nimwage boda mtaani baada ya mwaka nina coasterMkuu unafahamu kuendesha boda? Kama unafahamu ungechukuwa 2M ukanunua pikipiki ukapiga kazi.
Kama haufahamu au hauna interests basi tafuta mtu unayeweza kuingia nae mkataba umpe aendeshe yeye. Hautapata 30K kwa siku ukimpa mtu ila angalau unaweza kufikisha nusu yake.
Kuhusu changamoto za bodaboda mkuu usijali sana maana kila kazi ina changamoto zake. najua kuna watu watakwambia boda achana nayo waendeshaji ni pasua kichwa.
Sasa wewe badala ya kusikiliza changamoto, fanya analysis ya hizo changamoto zote kisha utafute njia za kuzitatua moja baada ya nyingine. Ukisimamia vizuri bodaboda, baada ya muda unaongeza ya pili. Mwishwe unanunua bajaji, kisha IST, na badae inakuwa coaster.
Baaada ya miaka mkuu unamiliki basi. Mie siyo motivation speaker ila nakupa tu some insights maana we unaweza ukawa hauna hili wazo. Mkuu ukitajirika usinisahau na mie. Utanikumbuka mkuu.
Wazo zuri sana, inahitaji mtaji tu WA Boda sababu sasahv ni 2.3M Fekon, Sunroy etc ukiacha Boxer.Aisee kumbe utajiri nje nje...nitafutie watu kumi nimwage boda mtaani baada ya mwaka nina coaster
Kimbembe kuwapata hao vijana waaminifuWazo zuri sana, inahitaji mtaji tu WA Boda sababu sasahv ni 2.3M Fekon, Sunroy etc ukiacha Boxer.
Boda za mkataba ni business nzuri ila inahitaji ufatiliaji na kutatua changamoto za madereva wako na kuwasisitizia kuhusu marejesho.