Evans Richard Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 366
- 759
Kimbembe kuwapata hao vijana waaminifu
Mtu anayemiliki pikipiki yake atakubalije umpe pikipiki ya mkataba wewe, haina uhalisia hiyoNi kweli hapa ndio wengi tunapojiuliza maswali mengi tunapata wapii vijana maana vijana wapo wengi sana kitaa na wanahitaji PIKIPIKI wapige kazi.
Kuna mtu alinishauri tu kwamba usimpe PIKIPIKI kijana ambaye Hana income nyingne, yaani mtu unayempa awe na PIKIPIKI yake nyingine inayofanya kazi barabaranii.
Ukimpa kijana aliyepo tu kitaa Hana kazi nyingne inamaanisha atakuwa anategemea hyohyo PIKIPIKI impe Hela ya kula.
So ni vyema kumpa PIKIPIKI MPYA ya MKATABA mtu mwenye Pikipiki yake nyingine au kazi nyingne inayompa kipato Cha ziada.
Mtu anayemiliki pikipiki yake atakubalije umpe pikipiki ya mkataba wewe, haina uhalisia hiyo
Kuna vijana kitaa Wana zaidi ya Pikipiki 3 mpaka 4 na kuzidi hapo na wanafanya Kwa style hii hii, yaani akimaliza tu MKATABA anaomba afungiwe Pikipiki nyingine mpya aanze nayo mkataba wa miezi 11 mpka 12 inategemea na Boss maelewano yenu.Mtu anayemiliki pikipiki yake atakubalije umpe pikipiki ya mkataba wewe, haina uhalisia hiyo
Njoo tuitrade ntakupa 200% ROI kwa mwezi,looks too good to b true but it is good.Habari kuna sehemu nilikuwa nimeajiriwa sasa nimejikusanya na kupata milioni 5 baada ya mkataba wangu kuisha nifanye biashara gani ya kuingiza faida ya isiyopungua 30,000 kwa siku, ushauri wenu ni muhimu sana, asanteni sana.
Ni kweli hapa ndio wengi tunapojiuliza maswali mengi tunapata wapii vijana maana vijana wapo wengi sana kitaa na wanahitaji PIKIPIKI wapige kazi.
Kuna mtu alinishauri tu kwamba usimpe PIKIPIKI kijana ambaye Hana income nyingne, yaani mtu unayempa awe na PIKIPIKI yake nyingine inayofanya kazi barabaranii.
Ukimpa kijana aliyepo tu kitaa Hana kazi nyingne inamaanisha atakuwa anategemea hyohyo PIKIPIKI impe Hela ya kula.
So ni vyema kumpa PIKIPIKI MPYA ya MKATABA mtu mwenye Pikipiki yake nyingine au kazi nyingne inayompa kipato Cha ziada.
Mkataba wa mwaka mmoja..kwa Boda yaKuna vijana kitaa Wana zaidi ya Pikipiki 3 mpaka 4 na kuzidi hapo na wanafanya Kwa style hii hii, yaani akimaliza tu MKATABA anaomba afungiwe Pikipiki nyingine mpya aanze nayo mkataba wa miezi 11 mpka 12 inategemea na Boss maelewano yenu.
Then Ile/zile Pikipiki za mwanzo anawapa vijana wengine wanampelekea hesabu za siku 7,000/= so unakuta Kuna Kijana mmoja ana Pikipiki 3 (Pikipiki 3 Mali zake ukiacha Pikipiki yake mpya ya MKATABA).
Kwa Pikipiki 3 Hapo inamaanisha anakusanya 21,000/= per day kwenye Pikipiki zake zote na 10,000/= tu anapeleka Kwa Boss na iliyobaki 11,000/= ni Hela yake ya kujikimu + Hela aliyopata kwenye Pikipiki yake mpya ya MKATABA Kwa hiyo siku.
Sijaelewa unazungumzia nini, maelezo hayajitoshelezi.Mkataba wa mwaka mmoja..kwa Boda ya
... Unapata faida kiasi gani?!
Kwamba unanunua Boda nyengine naa..Kuna Cha ziada unapata?
On point bro,na ukiwa na risk management pouwa hyo 30K in forex unaipata kwa capital ya 300USD kwa kutafta pips 10 tu per dayHahahah ukiwa na mtaji mkubwa hupigwi kizembe[emoji28]
Mkuu usalama wa mfuko uko sio km mambo ya QnetKwa uelewa wangu kutokana na maelezo na elimu watooayo hapo UTT AMISS, mimi nimeweka 10M/= na nitakuwa na pata kila mwezi 1.23% ya hiyo pesa kwenye Akaunti yangu, ni kama vile KA- PENSION ka namna fulani hivi! Sasa wewe ukiweka 100m/= utapata 1.23% ya hiyo pesa kama 1,230,000/= kwa mwezi au ukitaka unaweza kuipata kwa miezi sita; yaani kuna option mbili - ya mwezi mmoja au miezi sita tu. Karibu.
Location ndio mtihaniBrother fungua kipub chako weka tv kubwa lipia dstv/azam weka pombe local za kutosha ndan ya miez miwi ukiwa serios fresh unarudisha pesa yako
samahani mkuu UTT. AMIS ni nini?Ivi bado mnaweka pesa bank???? Ni bora ×1000 kuweka pesa UTT AMIS wanatoa rate nzur mno na kuna flexibility
Tatizo la UTT AMISS ni kuwa watu wengi hawawafahamu ILA HII NI TAASISI YA SERIKALI CHINI YA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO! Hivyo U - Qnet hakuna. In fact mimi niliweka kwenye huo mfuko 10m/= tarehe 09/05/2022 na mpaka jana (09/06/2022) Akaunti yangu ilikuwa inasoma Shs.112,945.28 juu ya mtaji wangu na hiyo pesa wataniwekea kwenye Akaunti yangu kwenye Benki yangu wakati wowote! Nashauri watu wawatembelee pale SUKARI HOUSE, Dar-es-Salaam.Mkuu usalama wa mfuko uko sio km mambo ya Qnet
KabisaNitarudi