Evans Richard Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 366
- 759
Kimbembe kuwapata hao vijana waaminifu
Ni kweli hapa ndio wengi tunapojiuliza maswali mengi tunapata wapii vijana maana vijana wapo wengi sana kitaa na wanahitaji PIKIPIKI wapige kazi.
Kuna mtu alinishauri tu kwamba usimpe PIKIPIKI kijana ambaye Hana income nyingne, yaani mtu unayempa awe na PIKIPIKI yake nyingine inayofanya kazi barabaranii.
Ukimpa kijana aliyepo tu kitaa Hana kazi nyingne inamaanisha atakuwa anategemea hyohyo PIKIPIKI impe Hela ya kula.
So ni vyema kumpa PIKIPIKI MPYA ya MKATABA mtu mwenye Pikipiki yake nyingine au kazi nyingne inayompa kipato Cha ziada.