Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

Ni sawa pia ila changamoto itakuwa kwenye vibali na nyaraka na wafanyakazi
Kibali anachopaswa kuwa nacho kwa duka la dawa(sio pharmacy) ni Cheti cha Umiliki,ambacho kigezo cha kukipata ni kusoma kozi ya umiliki ya wiki moja, yenye ada ya laki moja au anaweza kutumia cha mtu.

Kupata vibali vya kuendesha duka ni rahisi kama atapata hicho cheti cha umiliki(kamchakato ka muda mfupi) na wafanyakazi wenye vyeti kuwapata sio ngumu.
 
Hii kwa Mvuti iko wapi

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kwa nafasi nyingine naomba utaje majina ya viwanda wala usiwe na hofu ya soko lako kuharibika nakuhakikishia watanzania Ni wavivu na wazembe sana hakuna atakae subutu, we taja majina tuu
 
Ukipewa ABC jitahidi ukatafute fursa zaidi wewe mwenyewe, umeelezwa matairi yanalipa na yapo kwenye yards za malori au mabasi zama mwenyewe anzia ubungo external tembea hadi mbagala, ingia yard zote tafuta connection, baada ya hapo angalia maeneo ulipoambia kuna viwanda chukua daladala shuka kama ni mvuti kituoni uliza bodaboda watakupeleka kiwandani kaongee nao yaani kazi ya siku mbili hiyo unamaliza mchezo unaanza kazi taratibu ukitaka kila kitu mtu akuwekee wewe usome tu bado wewe sio mtafutaji
 
Sababu jamii forum kila mtu anaishi dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…