Humilis
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 889
- 1,070
Kibali anachopaswa kuwa nacho kwa duka la dawa(sio pharmacy) ni Cheti cha Umiliki,ambacho kigezo cha kukipata ni kusoma kozi ya umiliki ya wiki moja, yenye ada ya laki moja au anaweza kutumia cha mtu.Ni sawa pia ila changamoto itakuwa kwenye vibali na nyaraka na wafanyakazi
Kupata vibali vya kuendesha duka ni rahisi kama atapata hicho cheti cha umiliki(kamchakato ka muda mfupi) na wafanyakazi wenye vyeti kuwapata sio ngumu.