Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

Frem kkoo huwezi pata kwa bei hiyo,labda sio kariakoo,bei yake ni 1m kuendelea na unalipia mwaka mzima
Ishi na watu vizur kkoo mtaa wa kongo nyuma ya SH hamon zipo ata za lakitaku Kama unabisha nitafute kwa muda wako
 
Ishi na watu vizur kkoo mtaa wa kongo nyuma ya SH hamon zipo ata za lakitaku Kama unabisha nitafute kwa muda wako

Inakuwa kigoli sio duka!,kariakoo kodi zipo za bei ya kawaida tu tatizo kubwa inakuwa ni kilemba hapo akili lazima ikukae sawa
 
Wapi hiyo mkuu wanapoingiza 50-60 per day
 
 
Kaka samah nahitaj muongozo vizur hyo biashara ya mchele
 
kwa mtaji wa milioni kumi mtu hawezi fanya hii kitu kwani kwanza upatikanaji wake wa hiyo bidhaa mpaka aaanze kuitafuta then mpaka apate tani aisee but ni wazo zuri excacly kwa mtaji wa 1m to 2 m
 
Yeah unatengeneza mkaa bandia wa makaa ya mawe percentage dust 70, clay mud 30
Wanaita coal balls
Mkuu Mshana jr ninaomba maelekezo ya kina upatikanaji wa machine za kutengezea huo mkaa wa balls tafadhali kaka
 
Dili ya direct tairi chakavu kwa mtaji wa nusu ya hiyo hela. Masoko yapo machaka ya kupata mzigo yapo
Dili nyingine ya moja kwa moja oil chafu. Faida yake haina hasara hata siku moja.
Elezea hizo biashara kwa mapana mzee.
 
Wakuu kama kichwa cha habari hapo juu. Najua hapa kuna wajuzi wa aina mbalimbali. Nimeona nililete kwenu kwa msaada zaidi.

Kuna dogo anataka kupiga mishe. Biashara gani inaweza kumuingizia milioni 1.5 hadi 2 kwa wiki kwa mtaji wa milioni 10?.

Karibuni
 
Na mimi nawasubiri waje nina 2.5M nataka niwe naingiza 375K kila wiki.
 
1.5M mpaka 2M kwa wiki, maana yake ni 6M mpaka 8M kwa mwezi. Hiyo ni 60% mpaka 80% ya mtaji wake (10M).

Uanze biashara leo, ndani ya mwezi upate 60% mpaka 80% ya mtaji wako wote. Hizi papara ndio zinatukwamisha vijana wengi. We want overnight success!

Ngoja waje wajuvi, nisije onekana mnoko!

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…