Million 10 biashara zipo nyingi tu unaweza kufanya mim siyo mchuyo wakuoto ushauli hata msaada kwenye Mambo ya ukuaji wa uchumi kwanza ngoja nikupe history fupi kuusu mim na family yangu mama ni mpishi wa batiki miaka hiyo ya 2000 Hadi leo ni mpishi Ila sikuizi apiki Sana batika Bali anapika bati za vijora nazan unavijua vijoro kupitia biashara hii yeye anayoifanya na kumkutanisha na wafanyabiasha wengi kkoo ambao wanampa oda awabadilishie nguo zao Yani vijora plan au vya mauwa kuwa batiki hapo ndipo nimepata wazo baada ya kuona post yako hii apo Cha kufanya tafuta frem yako kkoo nadhani Kodi yake inaanzia 400,000 Hadi 800,000
Wew chukua ya 400,000 *5= 2,000,000
Unajumlisha 400,000=2 400,000
Zoezi la pili weka una karabati kidogo unatenga 300,000 jumla utakuwa umetumia 2,700,000
Unaongeza 200,000 ya vitu vidogodogo
Utua ya tatu hii sas utanunu ngua zako za kuweka dukani kwangu hapa Kuna nguo za Aina mbili Kuna za mauwa na plan sis tuanze plan wanauza pc5 pamoja na mtandio wako kwa 40000 kumbuka tuna itaji kila langi zewe dukani unaita plan 600*8000= 4,800,000
Atua inayofata kwa fundi kushona na kutengenezwa mauwa ya batiki ambayo garama ya kila pc moja ni 3500*600=2,100,000 mpaka hapo kwenye swala la vijora vya batiki utakuwa umemaliza utakuwa rangi tano alafu kila langi itakuwa na mauwa manne na kila uwa utakuwa na pc 30 upata hapo utakuwa fresh na pesa iliyo baki utaweka kwa akiba ya kununua vijara vya mauwa kidogokidogo
Kuusu faida inalipa kabisa kwani ww apo utakuwa unauza umtu akichuku kwanzia 5 utamuuzia pc 13000 Yani iyo ni jumla na faida yako 1500 kila pc na wateja wa mojamoja 14000 kwa msingi ulio nao kwa wiki utauza pc hata 300 naomba nimalize hapa.
Ukitaka wazo lingine nitakupa ambayo mim nafanya biashara ya nafuka na mafuta ya alizet pamoja na karanga pia na kukaribisha napo mwandiko wangu siyo mzuri Sana Ila nadhani utakuwa umenielewa kias