Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

Ndugu zangu poleni Kwa uchovu, Nina Rafiki yangu ana mtaji wa 10m anataka kufanya biashara Kwa fasta fasta ili apate faida. Nakaribisha mawazo.[emoji1431]

Sent from my CPH2239 using JamiiForums mobile app
 
Jamaa afungue restaurant ya kisasa, afuge kuku wa kisasa, jamaa alangue mazao( awe muuzaji wa kati ya mkulima na mnunuzi), jamaa afungue microfinance, afungue maduka ya vyakula, supermarket, jamaa akalime tikiti, afungue gym, duka la jumla, afungue bakery, nk

Jamani naomba tubadilike sasa, siku zote mpango wa biashara unapangwa kabla ya hela kupatikana, na si baada ya hela kupatkana
Jaribu kukaa chini na kuplan business ambazo hata ukipata pesa utazifanya, na kisha anza kufanya uchunguzi juu biashara hizo
 
Ndugu zangu poleni Kwa uchovu, Nina Rafiki yangu ana mtaji wa 10m anataka kufanya biashara Kwa fasta fasta ili apate faida. Nakaribisha mawazo.[emoji1431]

Sent from my CPH2239 using JamiiForums mobile app
location biashara ije ifanyike wap?
Kwa mvua za sikuizi kulima ni uongo labda TZ ndanindani.

Kama anatak fedha za kila siku. Tafta location ambapo kuna watu namaanish wanakutan san bodaboda , wanachuo, n wazeee masponsa.. tafta jengo au jjenga kam pub flani hvi ambay ipo enclosed mvua isijekukupa taab uza pombe soft drink vant, wek v meza vya kiani vy pub . Tafta mziki mnene kama spika Angalizo kwenye iyo sehemu kuwe na vyumb atleast kimoj au v2 wekamo kitand , gdoro basi. CHAMUHIMU

PASIPOE TAFUTA ISI KALI UE ATA UNAKODI PISI KWA WIKI ZINAKUJ NA KUONDOKA simaanishi bar maid namaanisha madada poa. Hawa watakua wanalal kwenye vle vyumba nilivy sema uviache kwenye angalizo maan wanakuj na kuondok kaz yao nikuchangamsha . Yaaan vjanna wakiona kuna warembo alaf sehemu imechangamka ina vibe. Wewe nikukusanya hela kama kweli umedhamila untaka biashara ya kukupa pesa. Hii hapo juu itakua kua ni jion mpka usiku

Asubuhi mpka jioni . Uza supu na chipsi sehemu isipoe. Kuna vitu sijavitaj lakin aslilimia 100% kwa siku sio chini ya llaki mbili utaondoka nayo .
Ukiwa intersted ni tag niendelee....
 
!
!
Biashara Nzuri sana aisee. Ila kama ningepata nafasi ya kushauri ningekushauri uingie ndani kidogo katumbasongwe au Ipinda Mwaya Mwaya huko ili upate advantage ya kuwa mashambani. Wakulima uwafate hukohuko walipo.
Sure Nkuyu na Kikusya na Ndandalo pashakuwa Town
 
By the way usafiri kwa kilo /tani moja ya mchele shilingi ngapi toka kyela to dar?
Shida inaanzia hapo mchele faida yake ni tsh 100 mpaka 300..jitahidi usimamie kwa makini ukibamkiziwa chenga imeumia...maana bei ya usafiri ni ileile kwa gunia ila ukija town bei ya mauzo itapungua kutokana na ubora mdogo wa bidhaa yako.
 
[emoji115]
HIYO HELA IGAWE MAFUNGU MANNE MKUU.

1. CHUKUA MILIONI 3 FUNGUA STATIONERY.

2. CHUKUA MILIONI 3 INGINE FUNGUA DUKA LA DAWA MUHIMU,
HUKU UKIWA NA MALENGO YA KULIENDELEZA ILI MTAJI UKIKUA UFUNGUE MAABARA HAPOHAPO.

3. CHUKUA MILIONI 1 WEKA KWENYE BIASHARA YA MIAMALA YA PEASA,
AMBAYO UTAIFANYIA HAPO KWENYE OFISI YA STATIONERY.

4. MILIONI 1 IWEKE KAMA AKIBA YA DHARURA ZOZOTE ZA KIBIASHARA.

NB:
KUKIWA NA USIMAMIZI MZURI NA LOCATION NZURI KIBIASHARA
NI LAZIMA UTATUSUA.
Hapa hujazungumzia kodi na pango, vibali vya duka la dawa na malipo kwa watdndaji...leseni nk.
 
Kuna viwanda sasa hivi vinakamua mafuta toka kwenye tairi chakavu huo mchakato unaitwa pyrolysis.. Na mafuta yanayokamuliwa yanaitwa IDO(Industrial Diesel Oli) haya yana soko kubwa sana kwenye viwanda vyote vinavyotumia mfumo wa BOILERS kama chanzo cha NISHATI

Tairi moja chakavu unainunua kati ya 1000 na 2000 nawe unaenda kuuza tani moja (approximately tairi 16 kwa laki moja.. Ukitoa mtaji na usafiri hukosi 50,000 faida kwa kila tani

Tairi kwa wingi zinapatikana kwenye mayard makubwa yenye kampuni za usafri
Viwanda vyenye kuhitaji hiyo malighafi hivi hapa
Mvuti Chanika
Kibada Kigamboni
Madafu Kibaha
Bagamoyo
Tegeta Dar

Naamini nimetoa maelezo ya kutosha sana
TATIANA
aliyetegwa
Aisee mkuu asante ila viwanda hayo maeneo havina majina ili kama mtu anahitaji kufanya research iwe anajua kipo kinaitwaje
 
location biashara ije ifanyike wap?
Kwa mvua za sikuizi kulima ni uongo labda TZ ndanindani.

Kama anatak fedha za kila siku. Tafta location ambapo kuna watu namaanish wanakutan san bodaboda , wanachuo, n wazeee masponsa.. tafta jengo au jjenga kam pub flani hvi ambay ipo enclosed mvua isijekukupa taab uza pombe soft drink vant, wek v meza vya kiani vy pub . Tafta mziki mnene kama spika Angalizo kwenye iyo sehemu kuwe na vyumb atleast kimoj au v2 wekamo kitand , gdoro basi. CHAMUHIMU

PASIPOE TAFUTA ISI KALI UE ATA UNAKODI PISI KWA WIKI ZINAKUJ NA KUONDOKA simaanishi bar maid namaanisha madada poa. Hawa watakua wanalal kwenye vle vyumba nilivy sema uviache kwenye angalizo maan wanakuj na kuondok kaz yao nikuchangamsha . Yaaan vjanna wakiona kuna warembo alaf sehemu imechangamka ina vibe. Wewe nikukusanya hela kama kweli umedhamila untaka biashara ya kukupa pesa. Hii hapo juu itakua kua ni jion mpka usiku

Asubuhi mpka jioni . Uza supu na chipsi sehemu isipoe. Kuna vitu sijavitaj lakin aslilimia 100% kwa siku sio chini ya llaki mbili utaondoka nayo .
Ukiwa intersted ni tag niendelee....
Mzee Naomba uendelee
 
Wewe unawaza kama mimi, sema kuijenga sehemu iwe tulivu na yenye kuvutia hiyo 10M inaisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Million 10 biashara zipo nyingi tu unaweza kufanya mim siyo mchuyo wakuoto ushauli hata msaada kwenye Mambo ya ukuaji wa uchumi kwanza ngoja nikupe history fupi kuusu mim na family yangu mama ni mpishi wa batiki miaka hiyo ya 2000 Hadi leo ni mpishi Ila sikuizi apiki Sana batika Bali anapika bati za vijora nazan unavijua vijoro kupitia biashara hii yeye anayoifanya na kumkutanisha na wafanyabiasha wengi kkoo ambao wanampa oda awabadilishie nguo zao Yani vijora plan au vya mauwa kuwa batiki hapo ndipo nimepata wazo baada ya kuona post yako hii apo Cha kufanya tafuta frem yako kkoo nadhani Kodi yake inaanzia 400,000 Hadi 800,000
Wew chukua ya 400,000 *5= 2,000,000
Unajumlisha 400,000=2 400,000
Zoezi la pili weka una karabati kidogo unatenga 300,000 jumla utakuwa umetumia 2,700,000
Unaongeza 200,000 ya vitu vidogodogo

Utua ya tatu hii sas utanunu ngua zako za kuweka dukani kwangu hapa Kuna nguo za Aina mbili Kuna za mauwa na plan sis tuanze plan wanauza pc5 pamoja na mtandio wako kwa 40000 kumbuka tuna itaji kila langi zewe dukani unaita plan 600*8000= 4,800,000
Atua inayofata kwa fundi kushona na kutengenezwa mauwa ya batiki ambayo garama ya kila pc moja ni 3500*600=2,100,000 mpaka hapo kwenye swala la vijora vya batiki utakuwa umemaliza utakuwa rangi tano alafu kila langi itakuwa na mauwa manne na kila uwa utakuwa na pc 30 upata hapo utakuwa fresh na pesa iliyo baki utaweka kwa akiba ya kununua vijara vya mauwa kidogokidogo

Kuusu faida inalipa kabisa kwani ww apo utakuwa unauza umtu akichuku kwanzia 5 utamuuzia pc 13000 Yani iyo ni jumla na faida yako 1500 kila pc na wateja wa mojamoja 14000 kwa msingi ulio nao kwa wiki utauza pc hata 300 naomba nimalize hapa.

Ukitaka wazo lingine nitakupa ambayo mim nafanya biashara ya nafuka na mafuta ya alizet pamoja na karanga pia na kukaribisha napo mwandiko wangu siyo mzuri Sana Ila nadhani utakuwa umenielewa kias
 
Nimerudi

Wewe uko wapi kwa sasa? Na biashara ya kufanya mfano kutoa bidhaa nchi jirani na kuleta huku utaweza kuimudu?.

Uganda kuna kadeti na mashuka na pia unaweza kutoka huku na mchele kutoka kahama na ukapeleka uganda si lazima uchukue mwingi ila unachukua kiasi kwa ajili ya kukuza mtaji, mfano unachukua mchele wa 3 milioni halafu utakavyouza huko pesa hiyo hiyo unafanya kununua hayo mahitaji uliyoyafata.

Biashara ya kadeti ni kwa huku Dar ndio naona itafaa au kama kuna fursa kwa dodoma pia sio mbaya
Mkuu na hii situation hamna usumbufu?, na gari za abiria bado zina enda huko?
 
Million 10 biashara zipo nyingi tu unaweza kufanya mim siyo mchuyo wakuoto ushauli hata msaada kwenye Mambo ya ukuaji wa uchumi kwanza ngoja nikupe history fupi kuusu mim na family yangu mama ni mpishi wa batiki miaka hiyo ya 2000 Hadi leo ni mpishi Ila sikuizi apiki Sana batika Bali anapika bati za vijora nazan unavijua vijoro kupitia biashara hii yeye anayoifanya na kumkutanisha na wafanyabiasha wengi kkoo ambao wanampa oda awabadilishie nguo zao Yani vijora plan au vya mauwa kuwa batiki hapo ndipo nimepata wazo baada ya kuona post yako hii apo Cha kufanya tafuta frem yako kkoo nadhani Kodi yake inaanzia 400,000 Hadi 800,000
Wew chukua ya 400,000 *5= 2,000,000
Unajumlisha 400,000=2 400,000
Zoezi la pili weka una karabati kidogo unatenga 300,000 jumla utakuwa umetumia 2,700,000
Unaongeza 200,000 ya vitu vidogodogo

Utua ya tatu hii sas utanunu ngua zako za kuweka dukani kwangu hapa Kuna nguo za Aina mbili Kuna za mauwa na plan sis tuanze plan wanauza pc5 pamoja na mtandio wako kwa 40000 kumbuka tuna itaji kila langi zewe dukani unaita plan 600*8000= 4,800,000
Atua inayofata kwa fundi kushona na kutengenezwa mauwa ya batiki ambayo garama ya kila pc moja ni 3500*600=2,100,000 mpaka hapo kwenye swala la vijora vya batiki utakuwa umemaliza utakuwa rangi tano alafu kila langi itakuwa na mauwa manne na kila uwa utakuwa na pc 30 upata hapo utakuwa fresh na pesa iliyo baki utaweka kwa akiba ya kununua vijara vya mauwa kidogokidogo

Kuusu faida inalipa kabisa kwani ww apo utakuwa unauza umtu akichuku kwanzia 5 utamuuzia pc 13000 Yani iyo ni jumla na faida yako 1500 kila pc na wateja wa mojamoja 14000 kwa msingi ulio nao kwa wiki utauza pc hata 300 naomba nimalize hapa.

Ukitaka wazo lingine nitakupa ambayo mim nafanya biashara ya nafuka na mafuta ya alizet pamoja na karanga pia na kukaribisha napo mwandiko wangu siyo mzuri Sana Ila nadhani utakuwa umenielewa kias
Barikiwa sana aseee.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mkuu na hii situation hamna usumbufu?, na gari za abiria bado zina enda
Kwa sasa nilikuwa najaribu kuwa tafuta jamaa zangu huko kampala wanipe uhalisia siwapati na huwa wanakuja kahama kuchukua mchele.
 
Frem kkoo huwezi pata kwa bei hiyo,labda sio kariakoo,bei yake ni 1m kuendelea na unalipia mwaka mzima
 
Kwa sasa nilikuwa najaribu kuwa tafuta jamaa zangu huko kampala wanipe uhalisia siwapati na huwa wanakuja kahama kuchukua mchele.
Hebu jaribu ku wacheki tena mkuu, maana hata mimi nina mpango wa kutimba huko ila sijajua sasa hapo boda pana hali gani ila nilisikia kuwa hapata fungwa, ila watu wa huko ndio wana jua zaidi
 
Back
Top Bottom