Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

Mimi ni mfugaji, nitakushauri kufuga ngombe kwa mchakato ufuatao:

Ujenzi wa banda = Ths 500,000/=
Manunuzi ya Ngombe 5 x Tsh 900,000 = Tsh 4,500,000/=
(Ngombe utawanunua wakiwa na mimba ya miezi 6)
Kuwahudumia ng'ombe kwa miezi mitatu kabla ya production = Tsh 1,500,000/=
(inahusisha mshahara kwa wafanyakazi wawil + chakula + madawa)

Jumla = Tsh 6,500,000/=

Baada ya Miezi 3;

UZALISHAJI:

Ngombe hawa watakuwa wakitoa maziwa si pungufu ya lita 5 kwa asubuhi na jioni kwa kila ng'ombe. Hivyo uzalishaji kwa siku utakuwa lita 10 kwa siku kwa ng'ombe.

MAPATO

Lita 10 x Ng'ombe 5 = lita 50 kwa siku x Tsh 1000 (bei ninayouza mimi hapa) = Tsh 50,000 kwa siku
Mapato kwa mwezi = Tsh 50,000 x 30 = 1,500,000/=

Gharama za uendeshaji kwa mwezi = Tsh 600,000/=

Faida = Tsh 900,000/= kwa mwezi

BAADA YA MIAKA 5:

Kumbuka ng'ombe huzaa kila mwaka hivyo basi baada ya miaka mitano utakuwa na ng'ombe wasiopungua 25. Kipato chako kwa mwezi unaweza kufikia si pungufu Tsh 18,000,000 endapo utakuwa na ngombe jike 20 kati ya hao 25.
Mchanganuo haujakamilika.
Kuwahudumia ng'ombe wakati wa production (food & manual labor)?
Idadi ya ng'ombe inapoongezeka?
 
Naona watu mnazunguka zunguka tu si mpe jibu sahihi Mbu afanye biashara gani.
Mi nakushauri fungua duka la spare za pikipiki siku hizi zipo nyingi sana zinalipa.
Hata ukifungua mgahawa mzuri wa kisasa kwa hiyo ten M inatosha utalipa sana
 
Mchanganuo wako ni mzuri sana kaka.....! lakini naona umeassume ceteris paribus i.e keepi all other factors constant!

Ikiwa ni pamoja na kuassume huyu jamaa analand tayari, anakibali cha kufanya shughuli ile, ana the same comittiment kama uliyonayo wewe, just the first month of production atakuwa na wateja kama unaopata wewe etc!

Hope ukifactor in other issues kama nilivyoeleza hapa juu, unaweza ona si lazima atapata faida of that level au can get higher than that!
 
Mbu, ni vigumu sana kuifanyia biashara hiyo milioni 10. ulitakiwa kuwa na bussines plan kabla ya kuzitafuta hizo milioni 10.
 
You are right on this, lakini hii huapply sana kama anataka kufanya iwe formal kidogo! Vinginevyo mi naona 10m ni nyingi sana, ambayo in 10 years inaweza kuwa some billions of money!

Kuna wajasilimali fulani that I know wako hapo k/koo sasa ni billioneas lakini wameanza bunisess kati ya miaka ya late 90s na 2000+ kwa mitaji ya kuanzia Tshs 500k mpaka 5m....lakini business zao ni informal but making a lot of money ni wajanja sana, wao wanauza nguo (most of them) na walianzia kule Tunduma, then mitaji ilipokua wakahamia Dar....k/koo, now wanaown most of the buildings hapo city centre!

Tatizo sisi tulioenda darasani kidogo, huwa tunaanalyse issues mno, mara nyingi we can't take risks...ndo maana tunaishia kuwa average people au mafisadi......kulazimisha utajiri kwa kuchota zilizotafutwa na wengine!

Mbu hiyo hela inatosha kabisa ni nyingi...ila inategemeana na wewe mwenyewe una mtazamo gani, na je, upo tayari kuacha white collar job na kuchafuka na hiyo business mpya au utamwachia mtu mwingine aimanage? etc!
 
kaka kagombee ubunge, nakuhakikishia zinatosha sana kuukwaa. Kwa mwezi utakuwa unazalisha si chini ya milioni 7 x mwaka mmoja (miezi 12)= 74 milioni. hHiyo pia izidishe miaka 5 (miezi 60)= 7 x 60 = 420 milioni.

situation anaysis ya mradi: Kama utajitosha kupitia CCM hali itakuwa kama ifuatavyo: wekeza kiasi cha milioni tano za kuwahonga wajumbe wa NEC ofcoz wapo kama 216 hivi (wadau mtanisahihisha), jitahidi kila mjumbe alau apate elfu hamsini. Hapa kuna uwezekano mkubwa wa kupita kama ni kijana mpya japo inategemea na jimbo unalotaka kugombea. Kwa ushauri wangu achana na majimbo yenye majina maana inaweza kukufika ya Bwana Mnyika pale ubungo. Kama wewe ni mchaga basi kazi ni ndogo nenda katufute jimbo lolote pale arusha, manyara na hata moshi (achana na majimbo ya ndesamburo na dr slaa hawa wameshapita muda mrefu tu).

Jitahidi kuwahonga wenyeviti na makatibu wa ngazi ya wilaya hasa wale wa CCM na jumuiya ya vijana kama utapanga kugombea kupitia chama hicho. Pia huna haja ya kuzungumka mikoa mingi wewe deal na wale wa ngazi yako ya mkoa. Tena ushauri wangu nenda mikoa ya kusini kama huna hakika sana maana kule wabunge wengi wanahali mbaya si unajua jinsi walivyoshindwa kuwaunganisha vijana kule matokeo yake wote wanauza viatu na maji huku dar.

Kama utahiji kujua mikakati ya uchaguzi usipate shida, napatikana kwa gharama za kiasi cha milioni moja tu namaliza kazi ya kukuwekea sawa wajumbe wa halmashauri kuu. Wale wa wa jimbo wasikuumize kicha dawa ni kuwafuata kata kwa kata afu tunawaweka kwapani wajumbe wa kamati ya siasa mchezo kwisha. Tuwasiliane kwa private chat hapa hapa JF. Jambo muhimu la kuzingatia: Mfanyabiasha mzuri bni yule anayechukua HATARI katika kuwekeza. Kila la kheri.
 
kaka kagombee ubunge, nakuhakikishia zinatosha sana kuukwaa. Kwa mwezi utakuwa unazalisha si chini ya milioni 7 x mwaka mmoja (miezi 12)= 74 milioni. hHiyo pia izidishe miaka 5 (miezi 60)= 7 x 60 = 420 milioni.

situation anaysis ya mradi: Kama utajitosha kupitia CCM hali itakuwa kama ifuatavyo: wekeza kiasi cha milioni tano za kuwahonga wajumbe wa NEC ofcoz wapo kama 216 hivi (wadau mtanisahihisha), jitahidi kila mjumbe alau apate elfu hamsini. Hapa kuna uwezekano mkubwa wa kupita kama ni kijana mpya japo inategemea na jimbo unalotaka kugombea. Kwa ushauri wangu achana na majimbo yenye majina maana inaweza kukufika ya Bwana Mnyika pale ubungo. Kama wewe ni mchaga basi kazi ni ndogo nenda katufute jimbo lolote pale arusha, manyara na hata moshi (achana na majimbo ya ndesamburo na dr slaa hawa wameshapita muda mrefu tu).

Kweli JF ni kiboko, kumbe 10m zinatosha kabisa kutumia shangingi.
 
Kama utahiji kujua mikakati ya uchaguzi usipate shida, napatikana kwa gharama za kiasi cha milioni moja tu namaliza kazi ya kukuwekea sawa wajumbe wa halmashauri kuu. Wale wa wa jimbo wasikuumize kicha dawa ni kuwafuata kata kwa kata afu tunawaweka kwapani wajumbe wa kamati ya siasa mchezo kwisha. Tuwasiliane kwa private chat hapa hapa JF. Jambo muhimu la kuzingatia: Mfanyabiasha mzuri bni yule anayechukua HATARI katika kuwekeza. Kila la kheri.

Mkuu, Fiksiman.......hizi si ni fiksi sasa?......unauzoefu wa muda gani kwenye kazi hii?
 
tatizo lenu watanzania mnapenda sana kuwabana watu, haya mambo ya uzoefu sijui wa muda gani ndo yanayotunyima kazi vijana wa sasa. Mimi nimepata digrii yangu ya political Science pale Mlimani nimeingia uraini muda si mrefu mnaanza fitna za uzoefu!!! Wewe cha msingi angalia mikakati yangu kama inafanya kazi lete ulaji sio kutoa kauli zakubaniana namna hiyo. Mimi hiyo kazi naiweza na nakuhakikishia ndugu yangu Mbu ukitaka unaingia bungeni bila wasiwasi. Nipe kazi Mkuru
 
wajameni eeh, nimebahatika "kupata" mahala ka-Mtaji. Ni kiasi cha shs. milioni kumi tu, (10,000,000/=) za Kitanzania.

Nipeni mapendekezo nizi invest wapi, kivipi na matarajio ya faida.
(i.e biashara gani inalipa (plus location), kwa muda gani, na SWOT analysis zake)

Mbu,

wasiliana nasi upate ushauri wa uhakika, pia tutakuandalia Mchanganuo wa biashara(Business Plan) baada ya kukubalina na aina ya biashara unayoweza kuifanya.

Note: Kutakuwa na gharama ingawa sio kubwa. wasiliana nasi info@gmconsultz.com, ama ceo@gmconsultz.com,
 
Kwenye website yenu ambayo bado iko under construction, hamjaonyesha kufanya kazi yoyote.Msije mkamfanyia majaribio Mbu na kamTAJI kake ka 10.m! hahahah

Mbu anza kwanza na kufanya due diligence/credibility check kabla ya kumlipa mshauri yeyote kwa kazi hii.
 
Kwa kuwa uko ya nchi,usimamizi kwa biashara nyingi hapa Bongo kwa sasa ni tatizo.Utakosana na jamaa zako bure,vijana wachache sana wanaweza kusimamia kwa uaminifu. Je wewe ni wa umri upi? Biashara za muda mrefu ni zile ambazo mavuno yake si ya leo. Hizo za maandazi na chapati ni za leo leo.

Biashara zenye high risk ndizo zenye high return na ambazo wabongo wengi wanazikimbia mzee. Karibu tuendelee kupeana ushauri.

...shabaash! sasa Malila hebu nipatie mifano miwili mitatu ya hizo 'high risk business', ukiondoa biashara kichaa kama 'unga' nk...maana kuna watu watafikiria huku ilhali watu tuna heshima zetu.

Ni biashara gani ya muda mrefu ambayo naweza kuzitumbukiza hizi 10m/=, na huo muda mrefu unakadiria muda gani na returns zake kwa makisio?

Yaani unataka info zote hizi free of charge? Kwa maoni yangu, hili lingekuwa zoezi la kwanza kabla ya hata kuchukua mtaji huo. Kama hujui la kufanya, urudishe tu ndugu yangu kama umekopa ili angalau kupunguza riba.

...chief! sina pa kuzirudisha ndugu yangu, zishakuwa zangu hizi...ndio maana nataka nizizungushe zipate kuzaa.

Mimi ni mfugaji, nitakushauri kufuga ngombe kwa mchakato ufuatao:

Ujenzi wa banda = Ths 500,000/=
Manunuzi ya Ngombe 5 x Tsh 900,000 = Tsh 4,500,000/=
(Ngombe utawanunua wakiwa na mimba ya miezi 6)
Kuwahudumia ng'ombe kwa miezi mitatu kabla ya production = Tsh 1,500,000/=
(inahusisha mshahara kwa wafanyakazi wawil + chakula + madawa)

Jumla = Tsh 6,500,000/=

Baada ya Miezi 3;

UZALISHAJI:

Ngombe hawa watakuwa wakitoa maziwa si pungufu ya lita 5 kwa asubuhi na jioni kwa kila ng'ombe. Hivyo uzalishaji kwa siku utakuwa lita 10 kwa siku kwa ng'ombe.

MAPATO

Lita 10 x Ng'ombe 5 = lita 50 kwa siku x Tsh 1000 (bei ninayouza mimi hapa) = Tsh 50,000 kwa siku
Mapato kwa mwezi = Tsh 50,000 x 30 = 1,500,000/=

Gharama za uendeshaji kwa mwezi = Tsh 600,000/=

Faida = Tsh 900,000/= kwa mwezi

BAADA YA MIAKA 5:

Kumbuka ng'ombe huzaa kila mwaka hivyo basi baada ya miaka mitano utakuwa na ng'ombe wasiopungua 25. Kipato chako kwa mwezi unaweza kufikia si pungufu Tsh 18,000,000 endapo utakuwa na ngombe jike 20 kati ya hao 25.

...stanmokiwa, huu ushauri wako ni mzuri sana na nitaufanyia kazi, kwani umenionyesha naweza tumia 65% tu ya Mtaji! Je, Soko la maziwa si mbaya sana, au ndio kutegemeana na location?

Mkuu Mbu,

Sisi hatuchomi ndizi kwa biashara ya kumsubiri mteja tusiemfahamu, hatuhitaji matangazo wala utambulisho. Sisi ni wateja na wao pia ni wateja, hivyo kwa pamoja tunachoma ndizi.

...umeniacha feri mkuu, ngoja niachane nayo hiyo biashara ya 'kuchoma ndizi!'

Mchanganuo haujakamilika.
Kuwahudumia ng'ombe wakati wa production (food & manual labor)?
Idadi ya ng'ombe inapoongezeka?

...nilivyomuelewa mimi, amesema ni kiasi/wastani kama 1.5m/= kwa miezi mitatu kwa hao ng'ombe watano.

Naona watu mnazunguka zunguka tu si mpe jibu sahihi Mbu afanye biashara gani.
Mi nakushauri fungua duka la spare za pikipiki siku hizi zipo nyingi sana zinalipa.
Hata ukifungua mgahawa mzuri wa kisasa kwa hiyo ten M inatosha utalipa sana

...Fidel80 hilo la biashara ya piki piki ni wazo zuri, hasa Kwakuwa vibajaj navyo vinazidi mijini,....ila nimevutiwa zaidi na hilo wazo la mgahawa... maana'ke watu watake wasitake watakula, hasa watu wa maofisini... siku za kazi (i.e Jumatatu-Ijumaa) mfano pale Dar City Centre ule mgahawa wa HEE-DEE! ...naliweka wazo lako kwenye daftari nije nilitafakur baadae, thanks!

Mbu, ni vigumu sana kuifanyia biashara hiyo milioni 10. ulitakiwa kuwa na bussines plan kabla ya kuzitafuta hizo milioni 10.

...Farmer, maisha ndivyo yalivyo; kuna watu wanamipango ya biashara bila mitaji, na kuna wenye mitaji bila mipango ya biashara. Ndio maana nimetumbukiza karata hapa nipate mawazo ya wote.

Mbu,

wasiliana nasi upate ushauri wa uhakika, pia tutakuandalia Mchanganuo wa biashara(Business Plan) baada ya kukubalina na aina ya biashara unayoweza kuifanya.

Note: Kutakuwa na gharama ingawa sio kubwa. wasiliana nasi info@gmconsultz.com, ama ceo@gmconsultz.com,

...Mensarum shukran. Nadhani nanyi biashara yenu ni kutoa ushauri! Ni wazo mojawapo umenipatia, shukran... tutawasiliana.
 
wajameni eeh, nimebahatika "kupata" mahala ka-Mtaji. Ni kiasi cha shs. milioni kumi tu, (10,000,000/=) za Kitanzania.

Nipeni mapendekezo nizi invest wapi, kivipi na matarajio ya faida.
(i.e biashara gani inalipa (plus location), kwa muda gani, na SWOT analysis zake)
Teh teh teh teh my charge is 5% of the your capital Package Business Plan, Feasibility Study, Marketing Plan etc.
Its a joke, do not rush think thoroughly kabla hujaamua kuwekeza, check with some NGOs zinazotoa ushauri wa kitaalam na fanya homework on larverages, risk etc. Cause 10 million is not enough capital for a real business, you will need more so do not jump to a big plan without a back up and do not invest the all amount. You need to Budget only for 60% something like 6 Million and the rest leave them in the bank as a backup capital incase of anything. Wala usizitumie kujenga heshima bar, walevi hawana heshima. Good Luck
 
...Shukran kwa tahadhari. Ushauri wako wa ~60% unawiana na mjasiriamali mmoja hapo awali alishauri kilimo cha ufugaji wa ng'ombe wa maziwa, Investment kiasi ya 65% ya Capital yangu.

Hapo uliposema 10m/= is not enough for real business ndio umeniacha hoi!, Real business ni ipi na unreal ni ipi? ...i hope humaanishi kwenda China na haka kamtaji kangu kununua zile feki zao? au?
 
tatizo lenu watanzania mnapenda sana kuwabana watu, haya mambo ya uzoefu sijui wa muda gani ndo yanayotunyima kazi vijana wa sasa. Mimi nimepata digrii yangu ya political Science pale Mlimani nimeingia uraini muda si mrefu mnaanza fitna za uzoefu!!! Wewe cha msingi angalia mikakati yangu kama inafanya kazi lete ulaji sio kutoa kauli zakubaniana namna hiyo. Mimi hiyo kazi naiweza na nakuhakikishia ndugu yangu Mbu ukitaka unaingia bungeni bila wasiwasi. Nipe kazi Mkuru

...dah, kaka masuala ya ubunge wala sina fikra hizo, japo ni ukweli usiopingika miaka mitano bungeni, ni 'return' nzuri ya mtaji utaoweka!
 
kama una umri kati ya miaka 25 mpaka 35 nakushauri wekeza ktk misitu ya miti ya mbao(exortic) na nguzo za umeme,biashara ya nguzo za umeme kwa sasa inalipa ile mbaya,investment ktk misitu ya nguzo unafanya bila taabu hata kama uko Ulaya. Only risk takers can do it. Tz ardhi ni cheap sana.Pili kama ungekuwa Dar ningekwambia jaribu Kitimoto,mzee hii kitu inalipa bila mgogoro,si umesikia tishio la mafua limepungua.Dar kinaliwa ile mbaya.Ng`ombe safi pia. Tatizo la kuku wa kienyeji wafugaji wadogo wadogo wengi mno si rahisi kupredict soko la uhakika.Tatu jaribu kufuga samaki,tilapia au nile perch,wanazaliana kwa kasi na soko lake ni kubwa sana kwa sasa.
 
kama una umri kati ya miaka 25 mpaka 35 nakushauri wekeza ktk misitu ya miti ya mbao(exortic) na nguzo za umeme,biashara ya nguzo za umeme kwa sasa inalipa ile mbaya,investment ktk misitu ya nguzo unafanya bila taabu hata kama uko Ulaya. Only risk takers can do it. Tz ardhi ni cheap sana.

...wazo zuri, ila kabla sijamaliza sentensi ya "only rist takers can do it" nimekumbuka balaa la MOTO! na kiangazi! Huwezi amini Shamba la familia (wakati wa msimu) lilikuwa na uwezo wa kuzalisha machungwa ya kujaza Lori tani saba mara saba,...siku moja moto ukapita, mpaka leo nimeamini maneno ya wahindi; kilimo cha kitanzania ni sawa na kuzika tu pesa zako!

Pili kama ungekuwa Dar ningekwambia jaribu Kitimoto,mzee hii kitu inalipa bila mgogoro,si umesikia tishio la mafua limepungua.Dar kinaliwa ile mbaya.Ng`ombe safi pia.

...Naah, hapana bana... kiti moto big NO!

Tatizo la kuku wa kienyeji wafugaji wadogo wadogo wengi mno si rahisi kupredict soko la uhakika.Tatu jaribu kufuga samaki,tilapia au nile perch,wanazaliana kwa kasi na soko lake ni kubwa sana kwa sasa.

...nilikuwa na mtizamo huo wa kuku wa kienyeji, kwani walaji wamegundua ladha nzuri inapatikana huko, na wala hawana shughuli kuuubwa kuwahudumia, lakini kama usemavyo wafugaji wadogo wengi... hata hivyo chipsi kuku mtaani nazo bado biashara ipo juu! Imagine siku za sikukuu jogoo humpati chini ya 18,000/=!

Malila inaonyesha wewe ni mzoefu sana wa mambo ya biashara, shukran kwa chemsha bongo yako, tuendelee kuelimishana huku tukisikilizia michango ya wengine...!
 
...Vipi mambo ya Tenda jamani, maana kumbukumbu zangu kwenye magazeti ya nyumbani unakuta leo kuna tenda ya ku supply maharage jeshini, mara kesho tenda ya ku supply stationaries Muhimbili, mara tenda ya kuendesha mgahawa wa CBE...

biashara ya tenda (zabuni) mnaionaje wadau?
 
Back
Top Bottom