kweli mkuu huu ushauri ni mzuri kabisa, kama ulivyosema ni mwajiriwa itakuwa ngumu kusimamia biashara yako!Fungua biashara ndogo isiyozidi nusu ya hela uliyonayo then isimamie mwenyewe... Utaona returns nzuri tuu....biashara zote in nzuri kikubwa ni usimamizi.
Hoho zinalipa zaidi,lakini hata pilipili mbuzi zinalipa sana
Ni PM no yako tuongelee jinsi ya kutafuta masoko nje ya nchi
changamoto so far labda ni ku expand kupata wigo mkubwa zaidi wa wateja, kwani huwa nawakopesha wale ninaowajua tu, na siku wanayolipwa mshahara naijua hivyo nawabana wananilipa, either wanalipa principal+interest au wanalipa intetest tu kama mambo yao bado hayajatengamaa, interest sio kubwa ni 5% kwa siku 30, nikikopesha 100,000 nalipwa 5,000 baada ya siku 30 kama interest, nikopesha 10,000,000 yote napata 500,000 baada ya siku 30 kama interest
when i do business i mind it, it and only it, not my relationships, not my pride, not a woman, not my brothers not my sisters, its MY BUSINESS firstIla kuwa makini mkuu hiyo kitu wakati mwingine inaharibu mahusiano kweli pale inapofika muda wadaiwa wanakwepa kulipa
Biashara iyo ya daladala co nzuri itakukost ujutieKaka daladala faida halisi baada ya gharama zote ni ngapi daladala ya route ipi?
...maswali gani haya sasa....tumia hela bana....we vipi bana...kuna mambo mengi waweza kufanyia...ikiwemo kuto.mbea....sio jasho lako hilo...Wadau mimi ni Mwajiriwa,
Katika mambo ya urithi leo hii nimepewa mgao wangu wa 10mil cash. Nimeweka kwenye Account yangu nafikiria kitu cha kuifanyia.
Kwa nyie wazoefu, nipeni ushauri kibiashara ila mkizingatia mie ni mwajiriwa.
Nitashukuru kwa kila wazo chanya
Big up kama mie naufwata ushauri wakoMkuu pesa ya urith haifanyiwi biashara....ujui mzee kapataje..nenda tafuta kiwanja jenga then pangisha itakusaidia maisha yako yoote
mkuu safi sana
Utaratibu mzuri wa bodaboda ukishanunua mkabidhi mtu unaemfaham kwa maandishi na mpe target akuletee elf20 kila cku au lak na40 kwa wiki kwa mda wa miez minne au mitano utakuta umerudisha pesa yako na faida.akishamaliza bodaboda inakuwa yake we unanunua ingine.kufanya hvyo atakusumbua na atatunza pikipiki kipindi chote sbb ni yake.Kwa mfano ninunue boda boda 8 kwa bei ya jumla.. nifungue account say BOA bank. Kila nikipewa cash nadeposit huko.. Then cash inflow niwe nanunua boda boda moja kila mwezi. After six months si naweza kukopa na kununua boda boda nyiingi zaidi au!???
Dahh kaz kweli kweli!!!
Nahitaji kutulia
Yas mimi mzee wang alikufa.. so aliacha nyumba nne.. Watoto tuko watatu; tukagawana kila mmoja akapata yake ile moja tukauza. Sasa kila mmoja alipata mil 16 hiv. Mimi nikaenda Kibaha nikanunua kiwanja nikajenga vyumba 8.
Wezangu wakaanzisha biashara... Ni mwaka wa tatu sasa wenye biashara zishakufa na wapo kwenye msoto... Mmoja kauza nyumba tuliogawana.. So nina experience mkuu.. Wewe wekeza tu kwenye ujenzi itakusaidia baadae..
Ni jambo jema kama maisha yako ya kila siku hayototegemea kwa haraka pesa ya urithi uliyopatiwa, kwa sababu biashara nyingi ufa kutokana na mambo matatu;Wadau mimi ni Mwajiriwa,
Katika mambo ya urithi leo hii nimepewa mgao wangu wa 10mil cash. Nimeweka kwenye Account yangu nafikiria kitu cha kuifanyia.
Kwa nyie wazoefu, nipeni ushauri kibiashara ila mkizingatia mie ni mwajiriwa.
Nitashukuru kwa kila wazo chanya