Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

Au fungua mgahawa wa chakula,uuze Am to Pm. Wali,pilau ndizi,chips,nyama choma,soda weka na Ka bar,weka na sehemu ya kuoshea magari kwa nje. Barber shop pembeni.
 
Nunua mahindi makavu,mpunga au alizeti,weka godauni.After six months,, 6m itaweza leta hata Mara dufu.
Ni ushauri mzuri sana huu.
Lakini.....
What if bei ikiporomoka baada ya mavuno kwa msimu wa 1-2...?
 
achana na mambo ya kirikuu,tena used ndo hatari kabisa.kwa huo muda mfupi hivo wa miezi 6 biashara itakayokufanya upate faida ni ya kununua na kuuza bidhaa(trading),nadir uumize kichwa ujue bidhaa ipi itakutoa.
Ebu mpe mfano....[emoji5] [emoji5]
 
Nunua Bodaboda MPE mkataba after 12 months itakuwa ya kwake,but within a week akuletee hebsabu kiasi,Fulani ulizia huko ulipo kwa madreva wa mabodaboda.
Kwann umuingize mkataba?
1.ataitunza pikipiki akijua akimaliza miezi,mliyokubaliana itakuwa ya kwake,so hatoitumia vibaya.
2. Utakuwa umejiwekea mazingira bora bcoz Huo mkataba mtakuwa na terms zenu.
3. Itakupa faida ya haraka.
Take it or leave it,neno langu si sheria. But that's all I can advice for tonite.
Je....
Ikitokea skumoja unapata simu kwamba, una mgojwa wako mahututi hospital, na amejeruhiwa baada ya kuvamiwa na wezi, pia wamempora bodaboda....[emoji144] [emoji144] [emoji144]
Otherwise......
Ushauri wako umejitosheleza
 
Fanya tathmini makini juu ya biashara zote uangalie ni ipi inalipa zaidi
Kwa miezi 6....[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Kweli anaweza kufanya tathimi ya biashara zote.....[emoji45] [emoji45] [emoji45] [emoji45]
Ebu ngoja kwanza nipige....[emoji481] [emoji481]
 
Kwa miezi 6....[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Kweli anaweza kufanya tathimi ya biashara zote.....[emoji45] [emoji45] [emoji45] [emoji45]
Ebu ngoja kwanza nipige....[emoji481] [emoji481]
kabla hajaanza
 
Je....
Ikitokea skumoja unapata simu kwamba, una mgojwa wako mahututi hospital, na amejeruhiwa baada ya kuvamiwa na wezi, pia wamempora bodaboda....[emoji144] [emoji144] [emoji144]
Otherwise......
Ushauri wako umejitosheleza
Hizo ni changamoto au ajari kazini. Any business ina risk zake. Nothing NIL
 
Okay.

Basi ni imani yangu haba au inexperience maana biashara hizo nazo zina vibali vingi vingi vya kulipia.
Vibali vilivyopo ni leseni ambayo ni kwa mwaka mzima,TFDA elfu 30,kama atauza pombe itakuwa na liquor license,fire extinguisher akiweka sehemu ya kuosha magari.
Then kulipa frame. Sio kila biashara ianze na kuwa mbuyu. Hata mbuyu wenyewe ulianza kuwa kama nyasi. Maana mchicha mkubwa.
Ki restaurant cha size ya kati cha kibabe..fureshhhhh.
Nipe hiyo m6 nikurudishie mwezi wa 12.
Cheers
 
Ni ushauri mzuri sana huu.
Lakini.....
What if bei ikiporomoka baada ya mavuno kwa msimu wa 1-2...?

Je....
Ikitokea skumoja unapata simu kwamba, una mgojwa wako mahututi hospital, na amejeruhiwa baada ya kuvamiwa na wezi, pia wamempora bodaboda....[emoji144] [emoji144] [emoji144]
Otherwise......
Ushauri wako umejitosheleza
Uki calculate risk,hakuna biashara utafanya. Hata ukitoa nyanya shambani kuna sehemu gari utapata pancha,kuna time mvua itanyesha gari itakwma njiani.
Professor wangu mmoja aliniambia,
Wenye mafanikio sana sio waliosoma sana. Kwa sababu they are ready to face risk,lakini msomi wachache sana waliosoma
Nipe list ya wasomi matajiri..au kwenye list ya matajiri wa dunia,wasomi ni wa Ngapi humo?
Kila biashara ina risk zake,just calculate minimum list and let the maximum be the profit..
Finito
 
Wazo nzur kutoka kwa professor
 
Habari za muda huu, Naombeni ushauri nifanye biashara gani, Nina kiasi cha mil 5 nashindwa kuamua nifanye biashara gani, nahisi naweza katia mtaji mapema. Naombeni ushauri sio matusi na maneno ya kukatishana tamaa. Nipo SONGEA-RUVUMA
3aa31c052d3ed12ee8dd4de07f290ac1.jpg
 
!
!
Chakula..... Biashara ya chakula kibichi. Mfano unaweza ukaenda kyela na hiyo hela ukanunua mpunga ambao kwa sasa ni kama 10,000 kwa debe moja. Ukinunua kama wa 4,000,000 hivi baada ya miezi Miwili mzee utakuwa na zaidi ya 5,000,000 guarantee. Ukifika Kyela niambie nitakuunganisha na pa kulala bureeee na nitakupa connections pia za michango hiyo. Au njoo pm tuyajenge.
 
Back
Top Bottom