Kwa 6m???Au fungua mgahawa wa chakula,uuze Am to Pm. Wali,pilau ndizi,chips,nyama choma,soda weka na Ka bar,weka na sehemu ya kuoshea magari kwa nje. Barber shop pembeni.
Yes...Kwa 6m???
Okay.Yes...
Mshauri tu comrade, kumbuka mlio wa vyura haumnyimi ng'ombe kunywa majiNingelikupa ushauri mzuri hakika ungelikufaa, lakini nimestuka kusoma unafuga nguruwe... Ngoja nikae pembeni.
Ni ushauri mzuri sana huu.Nunua mahindi makavu,mpunga au alizeti,weka godauni.After six months,, 6m itaweza leta hata Mara dufu.
Ebu mpe mfano....[emoji5] [emoji5]achana na mambo ya kirikuu,tena used ndo hatari kabisa.kwa huo muda mfupi hivo wa miezi 6 biashara itakayokufanya upate faida ni ya kununua na kuuza bidhaa(trading),nadir uumize kichwa ujue bidhaa ipi itakutoa.
Je....Nunua Bodaboda MPE mkataba after 12 months itakuwa ya kwake,but within a week akuletee hebsabu kiasi,Fulani ulizia huko ulipo kwa madreva wa mabodaboda.
Kwann umuingize mkataba?
1.ataitunza pikipiki akijua akimaliza miezi,mliyokubaliana itakuwa ya kwake,so hatoitumia vibaya.
2. Utakuwa umejiwekea mazingira bora bcoz Huo mkataba mtakuwa na terms zenu.
3. Itakupa faida ya haraka.
Take it or leave it,neno langu si sheria. But that's all I can advice for tonite.
Kwa miezi 6....[emoji15] [emoji15] [emoji15]Fanya tathmini makini juu ya biashara zote uangalie ni ipi inalipa zaidi
kabla hajaanzaKwa miezi 6....[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Kweli anaweza kufanya tathimi ya biashara zote.....[emoji45] [emoji45] [emoji45] [emoji45]
Ebu ngoja kwanza nipige....[emoji481] [emoji481]
Hizo ni changamoto au ajari kazini. Any business ina risk zake. Nothing NILJe....
Ikitokea skumoja unapata simu kwamba, una mgojwa wako mahututi hospital, na amejeruhiwa baada ya kuvamiwa na wezi, pia wamempora bodaboda....[emoji144] [emoji144] [emoji144]
Otherwise......
Ushauri wako umejitosheleza
Vibali vilivyopo ni leseni ambayo ni kwa mwaka mzima,TFDA elfu 30,kama atauza pombe itakuwa na liquor license,fire extinguisher akiweka sehemu ya kuosha magari.Okay.
Basi ni imani yangu haba au inexperience maana biashara hizo nazo zina vibali vingi vingi vya kulipia.
Ni ushauri mzuri sana huu.
Lakini.....
What if bei ikiporomoka baada ya mavuno kwa msimu wa 1-2...?
Uki calculate risk,hakuna biashara utafanya. Hata ukitoa nyanya shambani kuna sehemu gari utapata pancha,kuna time mvua itanyesha gari itakwma njiani.Je....
Ikitokea skumoja unapata simu kwamba, una mgojwa wako mahututi hospital, na amejeruhiwa baada ya kuvamiwa na wezi, pia wamempora bodaboda....[emoji144] [emoji144] [emoji144]
Otherwise......
Ushauri wako umejitosheleza
Wazo nzur kutoka kwa professorUki calculate risk,hakuna biashara utafanya. Hata ukitoa nyanya shambani kuna sehemu gari utapata pancha,kuna time mvua itanyesha gari itakwma njiani.
Professor wangu mmoja aliniambia,
Wenye mafanikio sana sio waliosoma sana. Kwa sababu they are ready to face risk,lakini msomi wachache sana waliosoma
Nipe list ya wasomi matajiri..au kwenye list ya matajiri wa dunia,wasomi ni wa Ngapi humo?
Kila biashara ina risk zake,just calculate minimum list and let the maximum be the profit..
Finito