Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

Kaka Kabla ya kufuga kuku ambao faida hautaanza kuiona kwa haraka..tafuta mashamba kwa sasa walau hekati 10 kisha lima walau miaka 2...utaona mtaji huo ukikua sana...naongea kama mkulima
 
OK
Una idea na mashine nzuri inayosifika kutoa Mchele mkali pale kyela yaani grade 1?
Inaitwaje na IPO sehemu gani kwa pale ?


!
!
Kama hela ipo mzee kikusya pale kuna mashine za maana sana, zenye viwango vya uhakika ambazo pia zinagrade mchele. Ila kama hela haipo hata hizi za kawaida ukifika pale matema engineering works jamaa anauwezo wa kukudesignia mashine Nzuri tu.
 
!
!
Kama hela ipo mzee kikusya pale kuna mashine za maana sana, zenye viwango vya uhakika ambazo pia zinagrade mchele. Ila kama hela haipo hata hizi za kawaida ukifika pale matema engineering works jamaa anauwezo wa kukudesignia mashine Nzuri tu.

Kunidesignia machine tena?
Mm nazungumzia Mchele mkuu
Ila nimekupata kuhusu kikusya
 
!
!
Nilijua una mataji mkubwa wa kutosha kujenga godown lenye mashine huko ndani ili ufurahie faida ya kutoa huduma pia
Aliyeulizia godown ni mwingine
Mm niliuzia mchele wa kununua na kupeleka dar
Ndo maana nikauliza mashine nzuri inayosifika kutoa mchele supa safi yaani ile grade 1 pale kyela
 
Waungwana habari zenu na poleni na majukumu ya kila Siku,
Kwenye mada:
Nimepata kiasi cha million 10, sasa basi kwakua imekua ni ghafla sana nikapata wazo kwamba niifanyie japo biashara ili iweze kunisaidia katika mahitaji yangu ya kipesa ya katikati ya mwezi maana ukizingatia na gharama ya maisha ilivyo juu Kwa sasa, mshahara pekee hautoshi kabisa na unapatikana mwisho WA mwezi tu,
Kilichonileta kwenu ni kusaidiwa mawazo ya biashara, maana sikujipanga Kwa hili kabisa na ukizingatia sijawahi fanya biashara yoyote ya "serious" kiasi hiki,
Niashukuru Kwa michango yenu ndugu zangu katika kutafuta.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ipo njema zaid
 
Reactions: Mbu

........hujakosea. Fungua hii maktaba ya ushauri, nina uhakika hutotoka kapa. Fanya kile kilicho ndani ya roho/mapenzi yako.

Wapo wengi hunifuata private kuniuliza nimefanikiwa na nini. Biashara si kuiga mwenzio kafanikiwa na nini. Biashara ni ile wewe binafsi uliyo comfortable zaidi kuifanya.

Mfano; kwakuwa mimi nimenufaika sana kwa biashara ya kukodisha maboti ya uvuvi, wewe usikate tamaa kwakuwa huko Ulipo ni pori tu na misitu minene, hakuna bahari.

Angalia fursa zilizokuzunguka.

Kila la kheri.
 
HII KITU KWELI, SI YAKUIAMINI
 
[emoji61] [emoji61]

Private geologist
 
Vinywaji barid na alcohol iyo hainaga kugandaa tafuta pless ya uhakika tu utanambia[emoji5][emoji5]
 
Ukitak biashara usioogope hasara hata siku moja maan huta fanya biashara kabisaaa[emoji4][emoji4][emoji4]mm nafanya ya vinywaj barid kwakweli ukiwa serious like me ahaa unatoboa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…