Kha! Kudunduliza mpaka ufikishe hiyo hela kunaonesha kwamba wewe ni mtu bahili sana. Nenda kwanza kapimwe mkojo, majibu yakitoka ndio urudi hapa na majibu yako tukupe ushauri wa biashara ya kufanya...
===============================================
Mkuu, kama hutaki presha fanya biashara ya kuuza bidhaa ambazo haziozi kama vifaa vya umeme, spea za magari, vilainishi, betri nk.
Kwa kuwa pesa siyo ya mkopo, hata ukipata elfu tano kwa siku bado ni pesa nyingi so haina haja ya kufanya biashara yenye risk kubwa...
Dr Kingwangala keshasema kama sio mwanasayansi huwezi kujua uhusiano uliopo kwenye mkojo na akili!Havina uhusiano
Njoo makoroboi nunua goli fanya biashara ya mabegi inalipa sanaNina milioni 10 nilizokusanya kwenye Ajira Ila sasa ningetamani kufanya shughuli zangu au biashara Na nipo mwanza. Naomba ushauri nini nifanye ili nijikwamue kimaisha. Asanteni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu, unachukua mkopo ili umnunulie mama Zawadi ..... duh only in Tanzania
Dagaa wachafu. Unachukua Mwanza unaleta Dsm. Kwa mwezi unaleta mara mbili na kila trip unapata faida zaid ya ml 1.[Mkuu naomba maelezo zaidi Natalia Fanya Biashara hii
Mhh!Mtafute Wema Sepetu atakuelekeza jinsi ya kuzitumia
Niko singida hao ng'ombe wanapatikana wapi?Mimi ni mfugaji, nitakushauri kufuga ngombe kwa mchakato ufuatao:
Ujenzi wa banda = Ths 500,000/=
Manunuzi ya Ngombe 5 x Tsh 900,000 = Tsh 4,500,000/=
(Ngombe utawanunua wakiwa na mimba ya miezi 6)
Kuwahudumia ng'ombe kwa miezi mitatu kabla ya production = Tsh 1,500,000/=
(inahusisha mshahara kwa wafanyakazi wawil + chakula + madawa)
Jumla = Tsh 6,500,000/=
Baada ya Miezi 3;
UZALISHAJI:
Ngombe hawa watakuwa wakitoa maziwa si pungufu ya lita 5 kwa asubuhi na jioni kwa kila ng'ombe. Hivyo uzalishaji kwa siku utakuwa lita 10 kwa siku kwa ng'ombe.
MAPATO
Lita 10 x Ng'ombe 5 = lita 50 kwa siku x Tsh 1000 (bei ninayouza mimi hapa) = Tsh 50,000 kwa siku
Mapato kwa mwezi = Tsh 50,000 x 30 = 1,500,000/=
Gharama za uendeshaji kwa mwezi = Tsh 600,000/=
Faida = Tsh 900,000/= kwa mwezi
BAADA YA MIAKA 5:
Kumbuka ng'ombe huzaa kila mwaka hivyo basi baada ya miaka mitano utakuwa na ng'ombe wasiopungua 25. Kipato chako kwa mwezi unaweza kufikia si pungufu Tsh 18,000,000 endapo utakuwa na ngombe jike 20 kati ya hao 25.
Mkuu utakuwa si mjasiriamali, hizo hela ni nyingi sana kwenye baadhi ya biashara na bado ikakupa faida ambayo sijaona hata mmoja akiandika. Nina uhakika 10m ina uwezo wa kunilipa 1.5-2m monthly, tatizo lenu watu mliozoea kuajiriwa munafikiri ukianza biashara basi uwe na 20m, iyo itakusumbua anza chini ukomae na changamoto wakati wa kukuza mtaji, baada ya hapo utakuwa experienced enough, mm ni mwajiriwa na mjasiriamali najua mazingira ya kupa 2m from 10m monthly, simwagi hadharani ili tusumbuane mtaani au uharibu hela yako kwa kushindwa kuchagua site, ukihitaji msaada nitafute binafsi, nitakuita ktk ofisi zangu uone record za capital zangu zen mazingira ya site, baadae nitakytuma ukatafute site sawa ile, na utaona maendeleo,Tatizo la hili ni kuwa Tshs. 10m sidhani kama inatosha kuanzisha biashara yoyote bongo ambayo revenue yake inaweza kukamatika ( as in you can feel it).