lkn hapa si panahitaji uzoefu wa kujua dhahabu kama akienda hovyo anapigwaKipindi hiki ambacho soko la adhabu duniani limeshuka, mpatie connection achakue gram kazaa aweke zake stok tu. Asubirie corona iishe.
Mimi apo ningefumba macho na kujizolea crusher langu tu.
Kwahiyo umekataa kunipa connection hata sebuleni tu?Hii biashara kaka sio ya kupapalika sana ..huijui dhahabu uanze kuuza tu frm nowhere! Hapana .afanye mengibe tu
Mambo mob nakujaKwahiyo umekataa kunipa connection hata sebuleni tu?
Yeah swali langu ilikua, ni wapi kaipata hio 7m?? Kwanini asiendeleze huko alikoipatia?
Hao watalii wanatoka wapi usawa huu?Tatizo la kilimo kupoteza pesa ni rahisi sana!...hasa mtaji ukiwa mdogo....tena unaweza usione hata shilingi! ....kumbuka wakati unalima.. shamba linakula pesa na wewe binafsi unatumia pesa hiyo hiyo...Mavuno ni baada ya miezi sita ndio uende sokoni....mkuu bora nunua bajaji ya abiria au hata ya mizigo kwa dar usafiri bado ni changamoto hivyo bado kuna fursa...endesha hata usiku hasa kwenye makumbi ya harusi na club ya kukesha....au nenda beach kabebe watalii.
madam, wewe husema strawberry zna soko la uhakika kwl kwl lakn hapa unamkataza asiingie shamba how??Mie sina la kukushauri..ila nakuomb niko chini nakuomba usiingie shambani
sekta ya ajab mno hii yaan unaambiwa "GENERAL IS ALWAYS RIGHT"Nakubaliana na wewe 100% mimi pia baada ya utafiti nimeamua ninunue bajaji na nipige kazi nwenyewe kuajiriwa kunachosha sana hasa sisi tulio ktk secta ya ndio mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
huku tanzania kuna mpaka route za 2000 (kimara-mwenge) mida ya asbuh watu wanawahi makazin na usafir n wa shdaKama kichwa 1000 sawa,huku nilipo starndard kichwa 500,,bajaji inabeba abiria 4,lakini abiria hawapatikani kwa mkupuo hivyo bajaji inasubiri abiria kujaa,na ziko foleni,ukijaza unaondoka,unacha zingine,ukirudi pia unasubiri kwa foleni,hiyo Ni kwa rockcity
watalii?? kwa kpnd hiki?Tatizo la kilimo kupoteza pesa ni rahisi sana!...hasa mtaji ukiwa mdogo....tena unaweza usione hata shilingi! ....kumbuka wakati unalima.. shamba linakula pesa na wewe binafsi unatumia pesa hiyo hiyo...Mavuno ni baada ya miezi sita ndio uende sokoni....mkuu bora nunua bajaji ya abiria au hata ya mizigo kwa dar usafiri bado ni changamoto hivyo bado kuna fursa...endesha hata usiku hasa kwenye makumbi ya harusi na club ya kukesha....au nenda beach kabebe watalii.
madam, wewe husema strawberry zna soko la uhakika kwl kwl lakn hapa unamkataza asiingie shamba how??
mm nlidhan utamshauri atemane na kilimo cha mpunga afu azame kwny strawberry!!!
Sent from my SM-J320F using Tapatalk
Mie sina la kukushauri..ila nakuomb niko chini nakuomba usiingie shambani
Kwa kipindi chote atakapokuwa na hiyo bajaji...kwa sasa wanaweza wasiwepo....lakini badae mambo yakawa mazuri....hiki ni kipindi cha mpito tu.watalii?? kwa kpnd hiki?
Sent from my SM-J320F using Tapatalk
mkuu bajaji unaweza kudumu hata miaka ishirini. ...hao watalii watakuwa hawajafika tu!....sasa hivi hawapo basi atabeba watu wengine....tena kipindi hiki cha level siti bajaji zimepata soko sana.Hao watalii wanatoka wapi usawa huu?