Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

Tatizo la kilimo kupoteza pesa ni rahisi sana!...hasa mtaji ukiwa mdogo....tena unaweza usione hata shilingi! ....kumbuka wakati unalima.. shamba linakula pesa na wewe binafsi unatumia pesa hiyo hiyo...Mavuno ni baada ya miezi sita ndio uende sokoni....

Mkuu bora nunua bajaji ya abiria au hata ya mizigo kwa dar usafiri bado ni changamoto hivyo bado kuna fursa...endesha hata usiku hasa kwenye makumbi ya harusi na club ya kukesha....au nenda beach kabebe watalii.
 
Tatizo la kilimo kupoteza pesa ni rahisi sana!...hasa mtaji ukiwa mdogo....tena unaweza usione hata shilingi! ....kumbuka wakati unalima.. shamba linakula pesa na wewe binafsi unatumia pesa hiyo hiyo...Mavuno ni baada ya miezi sita ndio uende sokoni....mkuu bora nunua bajaji ya abiria au hata ya mizigo kwa dar usafiri bado ni changamoto hivyo bado kuna fursa...endesha hata usiku hasa kwenye makumbi ya harusi na club ya kukesha....au nenda beach kabebe watalii.
Hao watalii wanatoka wapi usawa huu?
 
Mie sina la kukushauri..ila nakuomb niko chini nakuomba usiingie shambani
madam, wewe husema strawberry zna soko la uhakika kwl kwl lakn hapa unamkataza asiingie shamba how??

mm nlidhan utamshauri atemane na kilimo cha mpunga afu azame kwny strawberry!!!

Sent from my SM-J320F using Tapatalk
 
Nakubaliana na wewe 100% mimi pia baada ya utafiti nimeamua ninunue bajaji na nipige kazi nwenyewe kuajiriwa kunachosha sana hasa sisi tulio ktk secta ya ndio mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
sekta ya ajab mno hii yaan unaambiwa "GENERAL IS ALWAYS RIGHT"

Sent from my SM-J320F using Tapatalk
 
Kama kichwa 1000 sawa,huku nilipo starndard kichwa 500,,bajaji inabeba abiria 4,lakini abiria hawapatikani kwa mkupuo hivyo bajaji inasubiri abiria kujaa,na ziko foleni,ukijaza unaondoka,unacha zingine,ukirudi pia unasubiri kwa foleni,hiyo Ni kwa rockcity
huku tanzania kuna mpaka route za 2000 (kimara-mwenge) mida ya asbuh watu wanawahi makazin na usafir n wa shda

pia kuna route za 1500 (mabibo-mbezi) lakn changamoto n kwamb bajaj n nyng sana

Sent from my SM-J320F using Tapatalk
 
Tatizo la kilimo kupoteza pesa ni rahisi sana!...hasa mtaji ukiwa mdogo....tena unaweza usione hata shilingi! ....kumbuka wakati unalima.. shamba linakula pesa na wewe binafsi unatumia pesa hiyo hiyo...Mavuno ni baada ya miezi sita ndio uende sokoni....mkuu bora nunua bajaji ya abiria au hata ya mizigo kwa dar usafiri bado ni changamoto hivyo bado kuna fursa...endesha hata usiku hasa kwenye makumbi ya harusi na club ya kukesha....au nenda beach kabebe watalii.
watalii?? kwa kpnd hiki?

Sent from my SM-J320F using Tapatalk
 
madam, wewe husema strawberry zna soko la uhakika kwl kwl lakn hapa unamkataza asiingie shamba how??

mm nlidhan utamshauri atemane na kilimo cha mpunga afu azame kwny strawberry!!!

Sent from my SM-J320F using Tapatalk

Boss sasa hiv strawberry hazilipi..walonunua miche kwangu ndo kwanza wanaomba niwataftie masoko...! At tht tym ilikua moro tu..sasa hv kuna njombe ..arusha..mbeya..mafinga! Hawana soko...! 2016 nilikua nauza kwa sk kilo 50!...sasa hv ukiuza sana 10kgs!...walopanda hizo mambo waje hapa watoe ushuhuda...berries kusafirisha umbal mrefu ni hasara..very delicate!..huwez toa 🍓 njombe upeleke dar! Zitaharibikia moro
 
Kama una eneo, fuga kuku wa nyama, kila mwezi unawatoa..

Bei ya jumla kwa sasa ni 6000

Nb: kabla hujaanza biashara yoyote tafuta taarifa sahihi kwanza..

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
watalii?? kwa kpnd hiki?

Sent from my SM-J320F using Tapatalk
Kwa kipindi chote atakapokuwa na hiyo bajaji...kwa sasa wanaweza wasiwepo....lakini badae mambo yakawa mazuri....hiki ni kipindi cha mpito tu.
 
Back
Top Bottom